R.I.P CHUMA JPM, tangu aondoke migao ya maji na umeme kila siku, ujinga ujinga kazini kila mahali!ovyo kabisaa!
 
KWANI UTAISHI MILELE UTAKUFA SISI SOTE SAFARI YETU NI MOJA ACHA KUJIONA WEWE UTAISHI MILELE.AU NYIE NDIO WALE WATU WAZURI MSIOKUFA?
 
Viatu vyenyewe vibovu, vibayaa. Wasio na akili ndio walimuelewa kichaa mwenzao. Sisi tunaendelea kushukuru utukufu mkuu.
Kwa hiyo wewe apo ulipo unaakili🤣🤣🤣
 
Kama unauchungu kaijenge familia yako
 
Alafu ametawala awamu moja tu ambayo ni miaka 5, awamu ya pili baada ya kuapa ametawala roughly miezi 4 hajatawala miaka 7 labda umemaanisha na utawala wa mama maana ndio amefikisha 7 plus na ya JPM.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Katika kumuenzi Baba Dr Mheshimiwa Comrade John Pombe Magufuli PhD inafaa paanzishwe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ili legacy ibaki Kwa vizazi na vizazi
The guy was against science how can you say that science is what killed him he was fighting against science and he forgot you can not compete with science and science won hallelujah
 
KWANI UTAISHI MILELE UTAKUFA SISI SOTE SAFARI YETU NI MOJA ACHA KUJIONA WEWE UTAISHI MILELE.AU NYIE NDIO WALE WATU WAZURI MSIOKUFA?
najua nitakufa xaxa ya nini nianze kulilia wafu ambao hawafai hata kuwa mizimu maana utaleta majanga
 
Kukomesha MGAO WA UMEME. Sasa hivi maji yakipunga na kuzidi mabwawani ni mgao tu kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…