Kitatoa PhD feki.
R.I.P Ben Saanane
Hivi ben saa nane huyu alikuwaga nani kwenye chama chenu,Mimi uwa nashangaa wabaki akina Mbowe,Lissu,Mnyika,lemma n.k alafu huyu beni ndo afariki tena mnasema aliuwawa akinanani walimua na kwanini,inamaa huyu jamaa alikuwa na influency kubwa kuliko hao wengine hapo juu?
 
najua nitakufa xaxa ya nini nianze kulilia wafu ambao hawafai hata kuwa mizimu maana utaleta majanga
Kwa hiyo wewe ndio islaeli mtoa roho hadi unajipa mamlaka ya kumuita Kiongozi wa dini ya watu wanaomuheshimu kwamba unatamani afe hata leo je amekukosea nini?
Au kosa lake ni nini kwenye familia yenu
 
Magufuli ni rais ambaye watz walimhitaji kwa miaka mingi sana. Ila mafisadi wa Ccm wakamzidi ujanja na kuamua kuumuua.
 
Kwa hiyo wewe ndio islaeli mtoa roho hadi unajipa mamlaka ya kumuita Kiongozi wa dini ya watu wanaomuheshimu kwamba unatamani afe hata leo je amekukosea nini?
Au kosa lake ni nini kwenye familia yenu
Mkuu ulisomaga shule au ilikupitia pembeni wakat unachunga mbuzi wa shemeji yako huko kijijin makutupora? wapi niliposema namuombea kiongoz wa dini afe?
 
Kukandamiza vyama vya upinzani wakati vipo kwa mujibu wa sheria
Vyama vingi vilivyopo Tanzania havina msaada wowote kwa taifa letu.



MAma Samia Suluhu Hassan ikikupendeza, serikali yako ipeleke mswaada bungeni wa kufuta vyama vingine vote vya siasa. Tubaki na chama kimoja tu ambacho ni Chadema.
 
Chadema amna Sera mpya nchi Ina shida kibao mnashindwa kuwatetea wanyonge kila siku mnamsema magufuli
Hao wanyonge si uwatetee wewe? Mimi kesho ni kula bia tu na kufurahia uhuru wa miaka miwili
 
Jana 9t mida ya usiku nimepita pale daraja jipya la wami,yale mataa yanavyowaka usiku utapenda...aisee yule mzee hakuwa mbinafsi wala mchoyo kwa kuijali na kuipendezesha nchi na wananchi wake.

Rip John
Kesho ni kufanya sherehe tu, Mungu fundi
 
Kupitia uzi huu na comments zilizopo, nimejifunza kwamba tutumie vizuri madaraka tunayopewa na tutende wema katika uso huu wa dunia wakati tuko hai.
Ni jambo baya sana na lenye fedheha kwa binadamu kukumbukwa kwa mabaya akiwa amefariki, mazuri yako yanasahaulika HADI KUFIKIA KIWANGO CHA WATU KUTUMIA ULEVI ili kusherehekea kifo chako!!!.
Enyi wenye vyeo na mali jifunzeni kupitia Magufuli.
 
Na hapo kumbuka wapo maraisi wengi tu waliopita na walikuwa na mabaya yao lakini hakuna anayesema neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…