The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Mkuu weka picha ya kichwa cha habari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jicho la kuona visivoonekana na watanzania wengi,View attachment 1734652
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti (Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss, kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo.
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje, kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu, S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Vyeti feki na wavivu lazima mtakuwa mkishukuru lakini ujue hata wewe huishi milele nae siku moja utaondokaTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Kama unamkumbuka, mkumbuke kimpango wako.
Sentensi za kipumbavu kama yako huwa hazikosekani anapojadiliwa mungu wako aliyekufa.Hata kuandika haujui.Darasa la pili Chee wewe!Vyeti feki na wavivu lazima mtakuwa mkishukuru lakini ujue hata wewe huishi milele nae siku moja utaondoka
Tupe ukweli wa PhD yake ili tujue uhalali wa cheti chake. Kama ulimkubali, mkubali kimpango wako.Vyeti feki na wavivu lazima mtakuwa mkishukuru lakini ujue hata wewe huishi milele nae siku moja utaondoka
Na wewe kama una mkataa mkatae kimpango wako.Tupe ukweli wa PhD yake ili tujue uhalali wa cheti chake. Kama ulimkubali, mkubali kimpango wako.
Ni wapi nimelazamisha wengine wamkatae, mimi sikumkubali na nimeweka hilo wazi, huyo muumini wake naona anajiliza badala ya kukaa kwa kutulia.Na wewe kama una mkataa mkatae kimpango wako.
Ukimkataa wewe haimaanishi basi dunia nzima imkatae kwakua wewe umemkataa.
Kwani wewe ni nani??
hoja ya kitoto,wafanyakazi wa uma ni asilimia ngapi ya watanzania?Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika.
Muulize huko alikohoja ya kitoto,wafanyakazi wa uma ni asilimia ngapi ya watanzania?
Ana machawa wake hapa watamsemea kwa niaba Kama vile Tu tunayofanyaga kwa kuombea MarehemuPeleka upumbavu wa kumsema sema marehemu asiweza kukujibu au ulitumbuliwa vyeti nini?
Kwa nini wabunge 19 wasio na chama bado wapo bungeni??Mtanisamehe wafuasi wa mwendazake wacha tu niseme ukweli
Huyu mzee sijui atamtazama vipi Mungu siku ya mwisho
Mwaka 2020 aliwapora watu ushindi kimabavu imagine wapinzani inasemekana walishinda majimbo karibia 150 lakini huyu muhutu akawapora wote
Taarifa za kiintelijensia zinadai wabunge wa upinzani wa Tanzania walioshinda ni karibia 150 badala yake akatuletea bunge la Chama kimoja linalosifu na mapambio
Bado karibia 70 wafuasi wa ACT waliuawa Zanzibar kwa amri ya yule katili
What Shame? Halafu mnasema alikua mzalendo?Mzalendo my foot?kupeleka miradi yote kwao ndo uzalendo?kuteka kupiga kuua kulawiti ndo uzalendo?
Nina majina ya Watu wengi tu wengine ni MaDC walikua upinzani huko wakatekwa wakabakwa na kulawitiwa wakirekodiwa yaani kublackmailiwa ili tu warudi ccm na kutishiwa kuwa zitavujishwa na mali zao zikashikiliwa.
Huyu jamaa alikua na roho ya shetani hakua binadam kabisa, simkubali SSH kabisa hata kidogo, lakini bora hata SSH kuliko yule muovu mzee alikua mtu katili kabisa yule.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu 2020 baada ya kupora uchaguzi hata haikupita miezi Mungu akamuondoa March 17 itabaki siku muhimu sana ktk maisha yetu na fundisho kwa watawala kuwa dhambi mshahara wake ni mauti.
Kiukweli hakuna uovu ambao haukufanyika kipindi cha utawala wake.....Ila tumshukuru tu Mungu Hakika wewe ndo unayeumba na kutwaa, sitoacha kulihimidi jina lako eeh Bwana Mungu, utukuzwe baba[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Pengo limezibwa zamani sana,we hujui tuuNi siku ni miezi ni miaka toka Rais Magufuli atuachie pengo kubwa lisiloweza kuzibika mpaka Yesu arudi
Waliokuwa wanamchukia sasa wana mtamani. Kila mtu ana mkumbuka Magufuli na kila mtu angetamani Magufuli arudi Ila haiwezekani tena tumebaki kulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106]Hakuna anayemkumbuka zaidi ya mke wake na watoto wake