Yule bwana hakustahili hata kuwa mkuu wa wilaya kabisa. Ona mama anavyomproove wrong in almost all aspects.
Kipindi kile mambo mengi hayakuwa yanaenda na sasa yameanza kuleta effect, thanks to mama samia anayatatua slowly.
Mfano hivi we ni rais gania unafokafoka kila unayeongea naye as if ni mtofo wako. Hivi alijua maana ya sheria kweli? Sheria hairaki rais kukamata na kumhukumu hapohapo mtu eti ni fisadi, akimuonea kwa sababu huko nyuma wameshakosana! Mfano Manji.
Unaumiza mass kubwa kwa sababu ya bifu zako za ajabuajabu.
Nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana.