Kweli kabisa, sasa hivi ile hospitali ya chato wagonjwa wanaolala hapo hawazidi ishirini, wakati aliijenga ibebe wagonjwa zaidi ya 1000, watu wanaona bora waende Bugando kwa sababu kuna huduma bora
 
Wewe umepitiliza kwenye uchawa,ni mchawi...!
 
Magufuli ana mapungufu but kawazidi Kikwete,Samia,Mwinyi na Mkapa aliye binafsisha viwanda ambapo sasa hv watu hawana ajira.
 
Wewe utakuwa vyeti feki , mpiga madili,fisadi
 
Kweli kabisa, sasa hivi ile hospitali ya chato wagonjwa wanaolala hapo hawazidi ishirini, wakati aliijenga ibebe wagonjwa zaidi ya 1000, watu wanaona bora waende Bugando kwa sababu kuna huduma bora
Kwa hapa alizingua sana ile Hospitali ilitakiwa ijngwe Mwanza
 
Kitu gani hajui. Unajua sasa hivi biashara zimekuwa sana na mzunguko wa pesa ni mkubwa sana? Kama unajituma kufanya kazi sasa hivi pesa ipo nje nje. Mama mweledi mno anaamini sana utawala wa sheria
Fedha za kukopa,kaangalie deni la Taifa ni shs ngap?
 
Mambo yamewashinda, mmeanza kuwaza kumtupia JPM lawama.
 
Usiseme nchi imepitia kipindi kigumu sema vyeti feki, mafisadi, wavivu , wapiga madili tumepitia kipindi kigumu usijifiche kwenye kichaka cha nchi imepitia kipindi kigumu
 
Maendeleo ni watu siyo vitu. Ethiopia au sudani wana ndege more than 100 lakini watu wake wanalia kila siku wanakimbia maisha magumu kama ilivuokuwa kwa magu
Magufuli Ali base sana kwenye infrastructure,hivyo pesa hizo walichukua wakandarasi wanao jenga hiyo miradi.Kwa Bahati mbaya sana hizo tenda zilikiwa ni lazima ziwnde kwenye makampuni ya nje kwa kuwa Mahandisi wetu ni zero.Hivyo,sio rahisi kuona hizo hela zikizunguka kwenye uchumi.
 
Tuchukulie, alikuwa hafai. Sasa nenda leo ofisini uone wateja wanavyotendewa kama wamekuja kukopa au kuomba ajira. Ona miradi ya kimkakati aliyoianzasha ilivyodorora au kumalizika nusu. Angalia deni la taifa ndani ya miaka 4 tu nyuma.
 
Wewe Kikwete acha upuuzi wako. Wewe unajua kabisa kuwa Nyerere na Magufuli ndiyo marais bora, naona hilo linakuuma sana hasa miradi ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR na bwawa la nyerere.
Yaani Jiwe alikuwa rais bora🤔🤔, acha kumuweka pamoja Nyerere na ujinga
 
Tuchukulie, alikuwa hafai. Sasa nenda leo ofisini uone wateja wanavyotendewa kama wamekuja kukopa au kuomba ajira. Ona miradi ya kimkakati aliyoianzasha ilivyodorora au kumalizika nusu. Angalia deni la taifa ndani ya miaka 4 tu nyuma.
Hakuna mrdi hata mmoja uliosimama
 
Wewe unaona Samia na Magufuli kuna utofauti?

Samia ni kiongozi wa karba tofauti sana na Magufuli, lakini cha kusikitisha, ameanza kuchukua reference ya Magufuri na kuongoza Kimagufuri.
 
Kweli kabisa, sasa hivi ile hospitali ya chato wagonjwa wanaolala hapo hawazidi ishirini, wakati aliijenga ibebe wagonjwa zaidi ya 1000, watu wanaona bora waende Bugando kwa sababu kuna huduma bora
Makamba vipi ndoto ya Urais bado unayo kuwa Rais basi hata wa paka nyumbani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…