Swala la kukatika umeme ni tangu Magu yupo, ulikuwa unakatika asubuhi unarudi usiku daily na hakuwahi kuliongelea hata siku moja
Taja mji au kijijini unakoishi ambako umeme ulikuwa unakatika asb na unarudi usiku daily maana huko unakoishi hauko peke yako ili tusikie wengine wa huko wanasemaje.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hovyo kabisa kumbe unaongelea mtaa mmoja wa igogo!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Nilijaribu mara ya kwanza nilikuwa na balance SHS 3800 nikataka kununua yote kumbe kuna gharama ya SHS 60 muamala ukasitishwa kujaribu 3700 ikakubali nikauweka. Niko Dar , inawezekana ni baadhi ya maeneo ndio kuna shida.
Mimi unagoma nimejaribu vyote hvyoo
 
This is a business unit mismanage-rial issue not worthy for presidential attention. The issue is the hangover attitude by Tanzanians that the president solves every minute thing including a husband-wife fight. "Ulevi huu (kila kitu rais) ulioletwa na Jiwe ndiyo unaotusumbua".
 
Chato kwenyewe ata enzi ya magufuli umeme ulikua unakatika sana tu sembuse sasa.acheni porojo zakuunga unga ambazo hazina maana.
 
Swala la kutokatika umeme lilianza toka awamu ya nne,Alipochaguliwa Prof Muhongo kuwa waziri wa nishati na madini,Mnyonge mnyongeni lakin haki yake apewe.
 
Suala la LUKU its true kama mwendazake angekuwepo ungeskia tu Kala kichwa cha Sijui Mwinuka Sijui Kalamaini wooote pumbaf zao , haiwezekani watu siku nne wanashindwa kununua umeme
 
Utuambiege na kirefu cha hiyo "ega" πŸ€”πŸ€”πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Jiwe alikuwa petty sana sometimes hadi kero ndo sababu wanaleta mazoea had kwa maza, wanafikiri maza ana vichwa mia!
 
Watu wameshaanza kurudi kama zamani kwa kufanya kazi kwa mazoea na bila hata chembe ya wasiwasi, siku hizi watoa huduma kwenye taasisi za serikali wameanza kuwa na viburi, hakunawa kumuogopa tena. Tunarudi enzi za Msoga.
Kwahiyo unakiri kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi kwa kutuletea viongozi wabovu??

Polepole si alidai mmeandaa succession hadi 2075!! Hahahhahaha
 
Mengi yameandikwa juu ya utawala wa Marehemu Rais Dr. John Pombe Magufuli. Mimi binafsi nakili kuwa ingawa wengi wamemnanga kuwa alikuwa katili na hana huruma wakitolea mfano kuhusiana na kauli zake kwa ndugu zetu wa Kagera baada ya tetemeko kama ndio mfano hai; hata hivyo nadhani kuna mambo fulani aliyatekeleza ambayo yalikuwa na faida kwa nchi hivyo warithi wake hawana budi kuyaendeleza.

Marehemu alikuwa hana msalie Mtume kwenye suala la kukusanya kodi ingawa mbinu zake zilikuwa hazina utu lakini pia alihakikisha kuwa kodi iliyokusanywa ilikuwa haitumiki hovyo hovyo na ndio maana aliagiza mambo yafuatayo ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kwa Serikali na Taasisi zake:

1. Alipiga marufuku safari za nchi za nje zilizokuwa zinatumia fedha nyingi bila tija na hasa safari za wabunge . Hizi Ndio safari wakina Ndugai walikuwa wanapiga mabilioni!

2. Alipiga marufuku utamaduni uliozoeleka hasa wakati wa utawala wa Kikwete wa mtu mmoja kuwa na vyeo zaidi ya kimoja. Kwa Mfano mtu mmoja anakuwa RC halafu huyo huyo anakuwa mjumbe wa NEC etc. Mtu mmoja anakuwa Mjumbe wa bodi za mashirika zaidi ya moja!

3. Alipiga marufuku seminar za wafanyakazi serikalini na mashirika ya umma kufanyika kwenye mahotel makubwa na badala yake wafanyie kwenye kumbi zilizoko kwenye maofisi yao. Hili la seminar Rais Samia aliangalie sana kwani wameishaanza kumchezea hijab kwa kusema sasa ameruhusu seminar!!!

Haya yalikuwa ni maamuzi ambayo hayana budi kuendelezwa ili kuwapunguzia wananchi mzigo wa matumizi mabaya ya kodi zao!
 
1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo.
3. KUIBA KURA 95%
4. Kumfokea padre na sista akiwa madhabahu ya Katoliki [st peters]
5. kuzuia wachagga wasichukue Tanzanite mererani kwa kujenga ukuta na kulinda na wajeda ila KUZIPELEKA KWA KAGWAAME.
5. kukataa katiba mpya.
6. Kumtaja Mungu mdomoni huku moyoni mwake akijua hayupo kwa matendo yake.
7. Kusifia wanawake weupe huku akijua mkewe ni mweusi.
8. Kutumia kodi za wanyonge KUPIMA MAPAPAI kama yana CORONA.
9. Watu wa kigamboni wapige mbizi kama hawataki nauli ya 200.
10. Wahaya kunyimwa fedha walizochangiwa na wanyonge wenzao pale tetemeko a ardhi lilipotokea.
 
1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo.
3. KUIBA KURA 95%
4. Kumfokea padre na sista akiwa madhabahu ya Katoliki [st peters]
5.

Je Jaji haya unaona ni busara yaendelezwe? Rais hana authority ya kumuondoa mtendaji mkuu wa Taasisi ambayo sio wholly owned na serikali!!! Kimei aliondolewa na Bodi yake na sio mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…