Mchaka mchaka wa maendeleo aliyokimbiza within 5yrs more than 50yrs
Kufanya nchi kuweza kujiamulia mambo yake yenyewe huu Ndio uhuru wakweli against Neo Colonialism
Akiongea dunia nzima inamjadili
Hotuba zake anavojua kuji connect na hadhira yake popote pale daah
Ukitoa mapungufu yake the guy was iron man !
Maamuzi magumu !nk
Rip legend!
Great thinker anapimwa kwa mawazo yake hapimwi kwa "LIKES". Maana humu matusi na dhihaka fupi fupi ndiyo hupata "Likes" nyingiAngalia list ya mabaya ya magufuli uliyoolozesha na angalia likes ulizopata
Mimi nitamkumbuka kama laana kubwa tuliopata watz haswa katika swala lauzulumati wa sisi wavuvi kata yakalya pamoja nakuwadhana zetu kuwa halali pamoja nakuwa naleseni jamaa alihitaji pesa za ziada ilimali yako aiache nakama haunapesa wanateketeza ulicho nacho na kuteka vingine mungu amlani kafiri yule kwakweli tamaa zake zimenifanya niangaike kupata mlo angalau mmoja kwasiku mungu amripue kwa moto mkali sana aamin
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M
Dr Magufuli lanced the boil in the Government. I know our Senior Public Servants chafe at the use of such language. But they – and we – know the Executive has traditionally been aloof and marked by impropriety and illegality.
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi...
Ha ha ha wacha weTutamisi yale masuti yake makubwa na kula mahindi barabarani bila kumsahau kauli zake za kebehi, ubabe na majigambo. Labda kiingereza chake [emoji2][emoji2][emoji2]
Alidharau Corona ikamchukuaYaah huo wako ila mwamba alikuwa unique upande wa misimamo yake,wewe huona sikulaumu ila mimi nimeona kwenye madini,Corona,sekta ya ujenzi,Afya ndio uzuri wa demokrasia kila mmoja abaki na anacho kiamini na kuendelea KUKUBALI KUTO KUKUBALIANA.
Hatuna cha kujivunia zaidi ya kumwombea Kwa MUNGU amsamehe kwa Mengi Mabaya aliyotutendea na Machache MazuriHabari za Asubuh waungwana..!
Leo tarehe Jun 25 ni siku ya 100 tangia Hayati Mh John Pombe Magufuli afariki Dunia, Kama Watanzania tuna nini chakukivunia kwa JPM?
Binafsi namuenzi Dr. John Magufuli kwa kufanya kazi nikiamini jitihada zangu ndiyo zitaniletea maendeleo yangu.
Pumzika Salama Magufuli
Nitakukumbuka Daima.View attachment 1829123
Sent using Jamii Forums mobile app