Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Nilicho jifunza ni kwamba Mungu ni Mkuu Siku zote na amejidhihirisha. Tumuogope Mungu kwa dhati na tujue kuwa maisha ya dunia ni ya kupita. Hata uwe nani...
 
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.

Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.

Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..

Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).

1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.

2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).

3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.

4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.

5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.

6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.

7.huyu jamaaa haki ya Mungu simkumbuki kwa lolote zaidi yakunipa machungu

Itaendelea...

PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
 
7.

Ushindi wa 100% katika kuchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi wa wabunge 2020.

Sijui alitumia ufundi gani
 
Mjanja alikuwa anajua tricks za wapiga deal

1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo.
3. KUIBA KURA 95%
4. Kumfokea padre na sista akiwa madhabahu ya Katoliki [st peters]
5. kuzuia wachagga wasichukue Tanzanite mererani kwa kujenga ukuta na kulinda na wajeda ila KUZIPELEKA KWA KAGWAAME.
5. kukataa katiba mpya.
6. Kumtaja Mungu mdomoni huku moyoni mwake akijua hayupo kwa matendo yake.
7. Kusifia wanawake weupe huku akijua mkewe ni mweusi.
8. Kutumia kodi za wanyonge KUPIMA MAPAPAI kama yana CORONA.
9. Watu wa kigamboni wapige mbizi kama hawataki nauli ya 200.
10. Wahaya kunyimwa fedha walizochangiwa na wanyonge wenzao pale tetemeko a ardhi lilipotokea.
Namba saba mkuu umeua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka ile kauli ya kufunga dimba, HAYO MAVI YAKO BAKI NAYO TUMBONI.!!!!cheeee!!!
 
Siku 100 tayari?
Siku mbona zinakimbia sana jamani, si kafa juzi tu hapa?
Kipindi cha awamu ya 5 siku zilikuwa zinatembea te teeh, siku moja ina masaa 36.
Ilisemekana siku ina masaa 48
 
Back
Top Bottom