Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Ajabu ya thread hii;
Lami iliyojengwa kipindi magufuli ni waziri, sifa kwa magufuli na si raisi aliyekuwepo madarakani.

Lami iliyojengwa kipindi magufuli ni raisi, sifa kwa magufuli na si waziri wa ujenzi wa muda huo.

Mama anayeendeleza miradi iliyoachwa na magufuli, anatajwa ana chuki na magufuli. Magufuli aliyekuwa anaponda wazi kila kitu kilichokuwa kimefanywa na Kikwete (muathirika zaidi Wa vipondo), anaitwa mzalendo na mpenda watu.

HII NI HATARI NA NUSU KWAKWELI...NI MATOKEO YA CHUKI ONAPOKUWA IMEPITILIZA
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Wewe ni polepole sivyo? Una haki ya kusikitika ndugu yangu, ulijipanga KUFUNDISHA ADABU watu kweli kweli..
 
POLENI SANA MKUU ILA NAKUSHAURI HAMIA UWE UNAKAA CHATLE KWENYE KALE KAKIBANDA WALIKOJENGELEA MLE NDANI ILI KUTUNZA LEGACY
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Usitusumbue kwa kutamani vya shetani. Siye twasonga mbele na makombozi aliyeletwa. Kama vp unganeni kuzimu muendelee kuteka na kuua mashetani wenzenu. Ubinadamu uliwashinda. Goooo to helll
 
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka

Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu

Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani

Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba

Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Wewe lia tu lakini kaenda kukutana na aliowaua. Na ataongezewa kuni za kutosha na mkuu wa kuzimu
 
Wewe ni polepole sivyo? Una haki ya kusikitika ndugu yangu, ulijipanga KUFUNDISHA ADABU watu kweli kweli..
View attachment 1830043
KILA MTU ANAMLILIA MTU KUTOKANA NAJINSI ALIVYOGUSA MAISHA YAKE

MM BINAFSI SIJUTII UONGOZ WA RAIS SAMIA MUNGU AMPE MAISHA MAREFU TENA IKIBIDI WABUNGE HUYU NDO WAKUONGEZEWA MUDA WA UONGOZ CYO MAGUFULI CJUI WABUNGE HAMLIONI HILO MBONA KWA MAGU MISHIPA ILIWATOKA MKISEMA ATAKE ASITAKE ATAONGEZEWA MBONA KWA MAMA MPO KIMYA AU ILIKUWA NI KICK ILI MSIKIKE KWA BOSS MPENDA SIFA ILI MUENDELEE KULA NATIONAL CAKE??
 
Inahuzunisha sana! SSH anadhani kwa kuonehsa chuki za waziwazi kwa JPM atajijengea umaarufu kisiasa! Ukweli wengi wamebaki kinywa wazi, machozi yao wana mwachia Mungu aliyeruhusu haya!

Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Ogopa machozi ya ndani kwa ndani wanaolia ni wengi japo Ma iskariot wanapaza sauti kama vile JPM alikuwa mwovu .wacha tumlilie
 
Ila angekuwepo sijui mb za kuingia humu jf ungezitolea wapi maskini ya Mungu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Unatuchuria na mavilio yakipuuzi,wanaume tunajenga taiga lenye hski,usawa na matumaini kwawote sio dhulma,ukandamizaji na ubaguzi!!
Ninyi wanyonge mlozoea kupakatwa na mnayemwita mwanaume kweli tafuteni mwingine was kuwapakata mbaki kumsifia na kumwimbia kuliko mnavyomwimbia Muumba wenu!!
Watesi wote,wakandamizaji na wabaguzi wanajifichia kivuli cha dini ama kusaidia wanyonge wa GTH
 
Kama vipi mfuate tu huko aliko, ndio utakuwa uamuzi mzuri!!kwani kwa mpira huu mama anaoupiga ni lazima MWENDAZAKE MASALIA, mpate tabu sanaaa!!kuna wimbo mmoja wa dini unasema MUOMBEE ADUI YAKO , AISHI MIAKA MINGI ILI AONE UNAVYOBARIKIWA"
Tanzania ilivyojaa wanafiki, akija mwingine utasikia zumari tofauti kabisa.
 
Inahuzunisha sana! SSH anadhani kwa kuonehsa chuki za waziwazi kwa JPM atajijengea umaarufu kisiasa! Ukweli wengi wamebaki kinywa wazi, machozi yao wana mwachia Mungu aliyeruhusu haya!

Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Hebu tuoneshe hiyo chuki ya wazi wazi ya rais samia kwa mtanguliz wake au unatetea usichokijua. Je rais samia

Kupandisha madaraja watumishi

Viongoz wachadema kufutiwa kesi na kurudishiwa faini yao

Uhuru wa vyombo vya hbr kuongezeka

Tabia ya kutekana na kupotezwa kwa watu wenye mawazo mbadala

Mashekhe wa uamsho kuwa huru

Haki kutawala a furaha

Wapinzani kuwa huru kufanya siasa viongoz katili kama sabaya kuwajibishwa.

Je yote hayo kufanyika ndani ya siku 100 za rais mpendwa mama samia ndo kuonesha chuki kwa hayat magufuli?? Kwahiyo mlipenda tuendelee kuishi kama wakimbiz ndani ya nchi yetu??

Rais samia mungu akupe maisha marefu umeletwa na mungu kuponya taifa usisikilize kelele za chura songa mbele mamilioni ya watanzania tuko nyuma yako

Kikubwa zaidi ili haya yote uliyoyatenda ndani ya siku 100 yaendelezwe na wajao tunakuomba utuachie katiba imara maana hatujui kama ukiondoka ww atakuja kiongoz mwenye hofu ya mungu kama ww ?? Tunaomba rasimu ya jaji warioba ifanyiwe kazihebu tuoneshe hiyo chuki ya wazi wazi ya rais samia kwa mtanguliz wake au unatetea usichokijua. Je rais samia

Kupandisha madaraja watumishi

Viongoz wachadema kufutiwa kesi na kurudishiwa faini yao

Uhuru wa vyombo vya hbr kuongezeka

Tabia ya kutekana na kupotezwa kwa watu wenye mawazo mbadala

Mashekhe wa uamsho kuwa huru

Haki kutawala a furaha

Wapinzani kuwa huru kufanya siasa viongoz katili kama sabaya kuwajibishwa.

Je yote hayo kufanyika ndani ya siku 100 za rais mpendwa mama samia ndo kuonesha chuki kwa hayat magufuli?? Kwahiyo mlipenda tuendelee kuishi kama wakimbiz ndani ya nchi yetu??

Rais samia mungu akupe maisha marefu umeletwa na mungu kuponya taifa usisikilize kelele za chura songa mbele mamilioni ya watanzania tuko nyuma yako

Kikubwa zaidi ili haya yote uliyoyatenda ndani ya siku 100 yaendelezwe na wajao tunakuomba utuachie katiba imara maana hatujui kama ukiondoka ww atakuja kiongoz mwenye hofu ya mungu kama ww ?? Tunaomba rasimu ya jaji warioba ifanyiwe kazi
 
Wakulima wakorosho unatuambiaje na sisi ? Tumlilie au tushukuru kwa kimbunga kilichomfuta.
 
Sisi kwetu tunasubiri amalize muda wake maana hatuamini Kama tunaraisi kikwetu familia inayoongozwa na mwanamke huwa haiheshimiki yaani wakurya, wasukuma tunapata taabu sana Kwanza nchi inarudi kwa Kiwete kule alikotutoa Mpambanaaji anko Magu nchi ameinyosha harafu huyu mwenye maumbile ya kike yule mwanamke ,,Sjui Kama nchi yetu ya kusadikika tutaifikia MOLA tusaidie la sivyo mfumo huu utaturudisha na kutupeleka mbele kwa kuupolomosha uchumi wetu kwa speed ya 4G..
 
Back
Top Bottom