Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Marehemu hakuyaishi maneno yake zaidi ya kuleta sifa kama wazaramo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi pia namkumbuka sanaUtamkumbuka wewe na nani, maana hapo umetumia wingi?
Wewe na mtoa mada mnamkumbuka?Mi pia namkumbuka sana
Hata wewe unamkumbuka kwa mabaya wengine kwa mema we baki ulipo nasi tulipo. Usilazimishe chuki zako ziwe zetu.Wewe na mtoa mada mnamkumbuka?
Haya mwambie abadilishe heading hapo juu awe specific isomeke wewe na yeye
Mi nilikua nawakumbusha tu kutumia wingi kunaleta mkanganyiko ni kama vile unatuwakilisha which is not true kwasababu sio wote tunao mkumbukaHata wewe unamkumbuka kwa mabaya wengine kwa mema we baki ulipo nasi tulipo. Usilazimishe chuki zako ziwe zetu.
Hakika tutakukumbuka milele daima najua ulifanya mambo mabaya mengi lakini mema yako yalikuwa mengi zaidi kwa sababu uliwekeza kwenye watu wa hali ya chini.
Magufuli popote ulipo mimi kama nilikukosea kwa vyovyote naomba unisamehe
Magufuli naomba utuombee kwa Mungu atupiganie maana mabepari yamechukua tena nchi yetu.
Watu wa chini sisi walala hoi tutakukumbuka milele
Bei ya mafuta Leo bukoba 2800 wakati Rwanda 2000
Bei ya mafuta Tunduma 2650 wakati Zambia 2100
Tozo za simu ndio usiseme, watu hawaishi tena Dodoma kutwa kupishana air port na mabarakoa na morogoro road na maviete hakika nitakukumbuka.
R.I.P
Hukuona bima ya NHIF inamuwezesha Mwananchi wa kawaida kabisa kutibiwa mpaka Aga Khan Hosp ilhali miaka ile ilikuwa ni inaishia kwenye Hosp za Serikali tuMtu anaimbwa kuwa aliwekeza kwa watu wa chini huku hata kusaidia kuajiri hao watoto wa wakulima kidogo wasaidie familia zao alishindwa.
Aliwasaidia kivipi hao watu wa hali ya chini?..ni bima ya bure alitoa au ni nini?
Unafikiri yuko kwa Mungu! Kwa nini usifikiri yuko jehanamu? Kumbuka: NJIA ILE IENDAYO MBINGUNI NI NYEMBAMBA. Litafakari sana hilo.Magufuli naomba utuombee kwa Mungu atupiganie
Kwahi unataka wakubwa wasilipe kodi na wawekezaji wa nje pia wawe huru kufanya wanachotaka katika nchi yetu. Hakuna aliyeporwa hela yake ishu kubwa ni malimbikizi ya kodi ndo ilikuwa inawasumbua kutokana na ukwepaji wa kodiMama Samia hataki kupora fedha za Matajiri kwny Accounts zao kwa kisingizio ha Uhujumu uchumi ili akamalizie miradi aliyopokea
Anataka kila Raia achangie Stiglers gauge na miradi mingine mikubwa
Ikibidi kodi ziongezeke kuliko kupora ma Bureade change za watu na kupora pesa za matajiri kwa 'task force'
Mambo ya kusema tunajenga miradi kwa 'fedha za ndani' iwe kweli kwa fedha za ndani za kodi stahiki
Watu wa chini wengi walijiajiri katika kipindi chake, angalia bodaboda, machinga na mamantilieMtu anaimbwa kuwa aliwekeza kwa watu wa chini huku hata kusaidia kuajiri hao watoto wa wakulima kidogo wasaidie familia zao alishindwa.
Aliwasaidia kivipi hao watu wa hali ya chini?..ni bima ya bure alitoa au ni nini?
Mbowe anamlilia tayariHakika tutakukumbuka milele daima najua ulifanya mambo mabaya mengi lakini mema yako yalikuwa mengi zaidi kwa sababu uliwekeza kwenye watu wa hali ya chini.
Magufuli popote ulipo mimi kama nilikukosea kwa vyovyote naomba unisamehe
Magufuli naomba utuombee kwa Mungu atupiganie maana mabepari yamechukua tena nchi yetu.
Watu wa chini sisi walala hoi tutakukumbuka milele
Bei ya mafuta Leo bukoba 2800 wakati Rwanda 2000
Bei ya mafuta Tunduma 2650 wakati Zambia 2100
Tozo za simu ndio usiseme, watu hawaishi tena Dodoma kutwa kupishana air port na mabarakoa na morogoro road na maviete hakika nitakukumbuka.
R.I.P
Hakika tutakukumbuka milele daima najua ulifanya mambo mabaya mengi lakini mema yako yalikuwa mengi zaidi kwa sababu uliwekeza kwenye watu wa hali ya chini.
Magufuli popote ulipo mimi kama nilikukosea kwa vyovyote naomba unisamehe
Magufuli naomba utuombee kwa Mungu atupiganie maana mabepari yamechukua tena nchi yetu.
Watu wa chini sisi walala hoi tutakukumbuka milele
Bei ya mafuta Leo bukoba 2800 wakati Rwanda 2000
Bei ya mafuta Tunduma 2650 wakati Zambia 2100
Tozo za simu ndio usiseme, watu hawaishi tena Dodoma kutwa kupishana air port na mabarakoa na morogoro road na maviete hakika nitakukumbuka.
R.I.P
Acha kujitoa akili tupo wengi tunaomkumbuka.Wewe na mtoa mada mnamkumbuka?
Haya mwambie abadilishe heading hapo juu awe specific isomeke wewe na yeye
Kwahi unataka wakubwa wasilipe kodi na wawekezaji wa nje pia wawe huru kufanya wanachotaka katika nchi yetu. Hakuna aliyeporwa hela yake ishu kubwa ni malimbikizi ya kodi ndo ilikuwa inawasumbua kutokana na ukwepaji wa kodi