Mama kaamua kutupora nchi nzima huu ujambazi hakika ni zaidi ya kufungia account.. anaporwa mgonjwa anaporwa mstaafu, anaporwa aliekopa kulipia ada, anaporwa mkulima yaani kila mtu anaporwa... Wenye kuingiza makontena wanakunywa chai mguu juu zamu ya mlalahoi kunyooshwa...ndio hii. Bi mkubwa anaomba ya asprin kabla haijamfikia imeliwa ..ikifikia tena inaliwa...na kuna minyumbu imashangilia... Mbwa kabisa.
 
Hata wewe unamkumbuka kwa mabaya wengine kwa mema we baki ulipo nasi tulipo. Usilazimishe chuki zako ziwe zetu.
Mi nilikua nawakumbusha tu kutumia wingi kunaleta mkanganyiko ni kama vile unatuwakilisha which is not true kwasababu sio wote tunao mkumbuka
 
UPUUZI MTUPU!!!

 
Mtu anaimbwa kuwa aliwekeza kwa watu wa chini huku hata kusaidia kuajiri hao watoto wa wakulima kidogo wasaidie familia zao alishindwa.

Aliwasaidia kivipi hao watu wa hali ya chini?..ni bima ya bure alitoa au ni nini?
Hukuona bima ya NHIF inamuwezesha Mwananchi wa kawaida kabisa kutibiwa mpaka Aga Khan Hosp ilhali miaka ile ilikuwa ni inaishia kwenye Hosp za Serikali tu

Aliondoa kutokulipa kodi kwa wafanyabiashara wenye mitaji pungufu ya 4ml, ambao wengi wetu ndio kundi kubwa la wenye kipato cha chini

Pia, Kundi hili la wafanyabiashara JPM alitoa maagizo kutokubughudhiwa na wana mgambo tofauti na miaka ya nyuma ilivyokuwa wakikamatwa na kufilisiwa mali zao

Alihakikisha nidhamu ya watumishi Serikalini ktk kuhudumia wananchi inakuwa yenye kiwango kizuri, hvyo wananchi wa hali ya chini tumeyashuhudia haya ktk maeneo mbalimbali ya kwenye Majengo ya Serikali kuanzia mahospitalini, manispaa, wizarani nk

Pamoja na mapungufu yake machache lakini Kwa haya mazuri aliyoyafanya, hakika tutamkumbuka sana JPM, Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele..... amiiiiin
 
Tutaimba nyimbo zote lakini lazima kodi ilipwe na kila mtu. Lazima dawa imuingie kila mmoja wetu na ndo tutakuwa na uchungu na miundombinu yote.
 
Kwahi unataka wakubwa wasilipe kodi na wawekezaji wa nje pia wawe huru kufanya wanachotaka katika nchi yetu. Hakuna aliyeporwa hela yake ishu kubwa ni malimbikizi ya kodi ndo ilikuwa inawasumbua kutokana na ukwepaji wa kodi
 
Mtu anaimbwa kuwa aliwekeza kwa watu wa chini huku hata kusaidia kuajiri hao watoto wa wakulima kidogo wasaidie familia zao alishindwa.

Aliwasaidia kivipi hao watu wa hali ya chini?..ni bima ya bure alitoa au ni nini?
Watu wa chini wengi walijiajiri katika kipindi chake, angalia bodaboda, machinga na mamantilie
 
Mbowe anamlilia tayari
 

Utamkumbuka wewe na ukoo wako !! Akumbukwe Akumbukwe kwani AMEKUWA MTOTO WA DANDU?

Your browser is not able to play this audio.
 
Njia nzuri ya kumuenzi na kumkumbuka Magufuli ni kutokubali kuonewa kijingajinga na kujiamini.
Hakuogopa yeyote na alifanya mabadiliko alivyoona inafaa.
Hakuwa mtu wa maneno tu bali vitendo na uthubutu.
 
Acha ubishi wa jambo usilo na weledi nalo

Vodacom miaka yote wanapata Tax clearance toka TRA kuonesha hawana deni lakin katika reports zao z Finance za mwaka uliopita wame declare TRA wanechota 26 billion kutoka kwny Accounts zao bila ya maelezo yoyote

Sie Makabwela wa kwa Lulenge hatukuathirika na uporaji ule kwa kuwa hata Bank Accounts zenyewe hatuna sasa issue na maumivu ya ku freeze Accounts si unajikuta unaiskia kwa mbali kama story za slave trade ya karne ya 19!
Kwahi unataka wakubwa wasilipe kodi na wawekezaji wa nje pia wawe huru kufanya wanachotaka katika nchi yetu. Hakuna aliyeporwa hela yake ishu kubwa ni malimbikizi ya kodi ndo ilikuwa inawasumbua kutokana na ukwepaji wa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…