Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Sawa ila maandishi yako hayaonyeshi kuwa umemsahau...ndio maana nikakwambia we mkumbuke kwa mabaya (yaani jifanye humkumbuki) si tunamkumbuka kwa mema.Mi nilikua nawakumbusha tu kutumia wingi kunaleta mkanganyiko ni kama vile unatuwakilisha which is not true kwasababu sio wote tunao mkumbuka
Mafuta tulinunua mpaka 1500-1800 leo 2280-2406.
Fly overs zinaendelea kujengwa... Tume ya madini inakusanya maduhuli ilianzishwa 2017.., TARULA inaendelea kutujengea barabara vijiji, sasa hivi TRA wanakusanya 390bln kutoka 1.3Tln ...makodi ya kinyonyaji yalitupiliwa mbali... Raslimali zetu walau zililindwa kwa mtutu wa bunduki... Walau kina Saniniu walikula keki ya taifa.. highway ya Morogoro tunaiona... Mikoani kila mkoa kunaujenzi wa maana wa miradi ya kimkakati... We fumba macho, masikio na ubongo sie tuko na JPM moyoni kwa mema. Mabaya we komaa nayo.