Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nasikitika pia kwa vifo vya watanzania hawa maskini. Nasikitika.-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika pia kwa vifo vya watanzania hawa maskini. Nasikitika.-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
Kwaiyo kama wewe una mchukia kisa wakina beni nawote wa mchukie sizani ata kuna anaewajua ao wanafahamika mtandaoni tu.ata Mungu aliangamiza sodoma na gomola ili vizazi vingne vipone.-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
Huyo wa kwanza aliitusi taasisi ya urais kuwa kafoji cheti.....-Ben Saanane.
-Azory Gwanda
-Rujwabe
-Kanguye
Kwaiyo kama wewe una mchukia kisa wakina beni nawote wa mchukie sizani ata kuna anaewajua ao wanafahamika mtandaoni tu.ata Mungu aliangamiza sodoma na gomola ili vizazi vingne vipone.
yes genge la DAB hilo including kupigwa risasi lissu.Hapo unamgusa bashite
yes genge la DAB hilo including kupigwa risasi lissu.
12. Kupoteza, kutesa na kujeruhi watu !!This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
Ha ha ha!!! Nina kilio cha increment lakini kaiuma sana sana!!! Naomboleza.Kuwaweka wafanyakazi wa Uma miaka 7 bila nyongeza ya mshahara wala kupanda daraja. Hili haliwezi kusahaulika
Rushwa kutamalaki kwa kisingizio cha hapa kazi tu.This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
Kusema mtu kafoji cheti siyo tusi. Infact ukimwambia mtu msomi wa kweli kweli kuwa kafoji cheti anakupuuza tu wala hatakuwa na muda na wewe. Imagine leo uanze kuandika kuwa Pro Shivji au Jaji Warioba siyo wasomi na elimu yao ni ya kuunga unga. Sana sana utakayesema hivyo utaonekana kichaa mbele ya jamii. Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Sasa kila mtu anashangaa ilikuwa tuhuma za kijinga namna hiyo zichukuliwe serious na wenyewe? Magufuli alisoma chuo kikuu na kila mtu anajua. Kwa nini wamuue mtoto wa watu kwa jambo la kijinga kama hilo? Au kuna ukweli? Nachoweza kuhisi ni kuwa baada ya Magufuli kuingia madarakani aliingiza kikundi cha washamba idara ya usalama ambao walilewa madaraka wakaona kama rais hawezi kusemwa kwa chochote hivyo wakaamua kumuua. Au pengine kuna ukweli fulani? (Zingatia uwezo wa mashaka kwenye mambo ya kisomi alioonyesha Magufuli wakati wa utawala wake)Huyo wa kwanza aliitusi taasisi ya urais kuwa kafoji cheti.....
Sijui walimpeleka wapi huyo jamaa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app