Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Magufuli angeendelea kuepo sidhani kama nchi ingekuwa bado ipo hii ! He was a maniac!!
 
Hofu ilikuwa juu sana na uhuru wa kujieleza uliwekwa kapuni, nchi ilikuwa inajizamisha kwenye udikteta taratibu. Kupotea na kupigwa risasi hadharani watu kama Lissu kulitosha kumfanya Mungu aingilie kati.
Mkiendelea kujidanganya kwamba Mungu aliingilia kati ni utoto kabisa.
Babu,Bibi au Baba na Mama yako waliokufa ni Mungu aliyeingilia kati?
 
Hesabu hazidanganyi kwa magufuli nauli havikupanda sababu kuu ilikuwa mlipuko wa ugonjwa wa covid ulikopeleka kuporomoka kwa Bei ya mafuta dunia mzima.kutokana na kushuka kwa Bei ya mafuta vingi vilishuka Bei ikiwemo mbolea nk.vitu vingi vilishuka Bei kutokana na ugumu wakulifikia soko la bidhaa yenyewe.ugumu wakufikia soko ulisababishwa na nchi nyingi kufunga mipaka yake.wakati huu tuliopo dunia mzima imekumbwa na mfumko wa Bei kwenye bidhaa nyingi dunian kutokana na uhaba wa mafuta kwenye soko la dunia ulisababishwa na vita inayoendelea huko Asia Kati ya urusi na ukraini.kitendo cha kuwekewa vikwazo vya kibiashara kwa urusi ambae ni mmoja wawazalishaji wakubwa wa mafuta kumepelekea mafuta kupanda Bei na hivyo gharama za usafilishaji kuongezeka katika Kila sekta.na hili ni tatizo la kidunia kwa walio katika mizunguko ya kibiashara na wanaosafiri katika maeneo mbalimbali duniani hili wanalijua.marekani watu wanalamika kupanda kwa gharama ya maisha uingereza vivyo hivyo.kwa anaeelewa ataelewa tu.asiyeelewa hawezi kuelewa.
mkuu unaishi zambia?
 
Kwa nini mnasingizia sana matukio?
Mara mnasingizia Covid, mara mnasingizia Vita. Komaeni basi japo kidogo.
COVID ilianza mwaka 2019, lakini JPM aliingia madarakani mwaka 2015.
 
Hesabu hazidanganyi kwa magufuli nauli havikupanda sababu kuu ilikuwa mlipuko wa ugonjwa wa covid ulikopeleka kuporomoka kwa Bei ya mafuta dunia mzima.kutokana na kushuka kwa Bei ya mafuta vingi vilishuka Bei ikiwemo mbolea nk.vitu vingi vilishuka Bei kutokana na ugumu wakulifikia soko la bidhaa yenyewe.ugumu wakufikia soko ulisababishwa na nchi nyingi kufunga mipaka yake.wakati huu tuliopo dunia mzima imekumbwa na mfumko wa Bei kwenye bidhaa nyingi dunian kutokana na uhaba wa mafuta kwenye soko la dunia ulisababishwa na vita inayoendelea huko Asia Kati ya urusi na ukraini.kitendo cha kuwekewa vikwazo vya kibiashara kwa urusi ambae ni mmoja wawazalishaji wakubwa wa mafuta kumepelekea mafuta kupanda Bei na hivyo gharama za usafilishaji kuongezeka katika Kila sekta.na hili ni tatizo la kidunia kwa walio katika mizunguko ya kibiashara na wanaosafiri katika maeneo mbalimbali duniani hili wanalijua.marekani watu wanalamika kupanda kwa gharama ya maisha uingereza vivyo hivyo.kwa anaeelewa ataelewa tu.asiyeelewa hawezi kuelewa.
Ni kukosa ujasiri wa viongozi . Mafuta ya Urusi kwanini asinunue mbayo yana bei ndogo kwa ajili ya kukosa soko?
Hizo sababu si za msingi.
Tumepiga kura ya kutokuwa upande wowote wakati wa maazimio juu ya Urusi lkn bado tuko ndani ya boksi la vikwazo na tunaunga mkono . Huu ni UNAFIKI. Hatueleweki na Ulaya iliyoweka vikwazo maana hatukuwasapoti.
Wala hatueleki na Urusi maana tunatekeleza vikwazo. Whata shame. India , China zimetumia kura zao vzr.
 
Wakati wa utawala wa JPM.
1. Mbolea mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- lakini sasa ni sh.135,000/-. Ongezeko ni 200%.

2. Nauli ilipokuwa sh.1500/- sasa ni sh.4000/-. Ongezeko ni 167%.

3.Tuliishi kwa amani bila vibaka wala Panyaroads lakini sasa wametapakaa kila kona mtaani.

4.Tulijengewa akili ya kujitegemea lakini sasa tunajengewa akili ya kuwategemea waliotufanya watumwa kwa miaka mingi.

5. Rasilimali za Nchi zililindwa kwa nguvu zote lakini sasa ni shamba la Bibi.

NB:- Kwa nini wanaogopa sana facts kuhusu JPM mpaka wanafuta uzi ndani ya dakika chache?

Mpaka hapo nimeamini JPM ni chuma, jina lake tu likitajwa wanatetemeka.

Hakuna cha JPM wala nini ni kutokujua mambo kwa wengi kama wewe

1. Bei ya mbolea imepanda Duniani kama ilivyo ya mafuta na tanzania wakati wa JPM hatukuwa tunatengeneza mbolea bali tulikuwa tunaagiza. Sasa je JPM angepata wapi mbolea kwa bei ya chini ambayo kwasasa wanashidwa kupanda. Angalau sasa kuna kiwanda kinajegwa Dodoma
2. Bei ya mafuta imepanda Dunia nzima hapa Texas mafuta yalikuwa $2.5 kwa gallon wakati wa Magufuli sasa ni $4.99 sasa hii ni Dunia nzima unafikiri JPM angewezaje kupunguza nauli au kuwaamrisha wenye magari wapate hasara. Kupunguza makati Mama Samia ametoa ruzuku kwenye mbolea na Mafuta kitu ambacho hata JPM hajafanya

Tumpe JPM sifa za ukweli sio uzushi kama huu.
 
Ungejua kinachowafanya viongozi wa ulaya kujiuzuru huu Uzi usingeunzisha,
Binafsi nachoshukuru PUTIN katuondolea korona
 
Ni kukosa ujasiri wa viongozi . Mafuta ya Urusi kwanini asinunue mbayo yana bei ndogo kwa ajili ya kukosa soko?
Hizo sababu si za msingi.
Tumepiga kura ya kutokuwa upande wowote wakati wa maazimio juu ya Urusi lkn bado tuko ndani ya boksi la vikwazo na tunaunga mkono . Huu ni UNAFIKI. Hatueleweki na Ulaya iliyoweka vikwazo maana hatukuwasapoti.
Wala hatueleki na Urusi maana tunatekeleza vikwazo. Whata shame. India , China zimetumia kura zao vzr.

Refinery ya kusafisha mafuta ya Urusi tunayo?
 
Hofu ilikuwa juu sana na uhuru wa kujieleza uliwekwa kapuni, nchi ilikuwa inajizamisha kwenye udikteta taratibu. Kupotea na kupigwa risasi hadharani watu kama Lissu kulitosha kumfanya Mungu aingilie kati.
Hofu ilikuwa kwa WAPIGAJI, WEZI, MAFISADI na wasio na UZALENDO.
Issue si kupigwa risasi au kutekwa.
Issue ni kwa nini yule au wale wametekwa na mimi na huyu hatujatekwa?
Kwa nini awe yeye au wao tu na wala si mtu au watu wengine?
Unadhani wewe ambaye hukutekwa walishindwa kukuteka?
La hasha. Hawakushindwa isipokuwa wewe hukuwa na sifa za kutekwa.

Kwa mfano, mtu mmoja anaiba fedha za ambazo zingetosha kununulia madawa Hospitalini. Je, ni watu wangapi watakufa kutokana na kukosa dawa?
Je, mtu wa namna hiyo akipigwa makofi kutakuwa na kosa gani?
 
Wakati wa utawala wa JPM.
1. Mbolea mfuko wa mbolea uliuzwa kwa sh.45,000/- lakini sasa ni sh.135,000/-. Ongezeko ni 200%.

2. Nauli ilipokuwa sh.1500/- sasa ni sh.4000/-. Ongezeko ni 167%.

3.Tuliishi kwa amani bila vibaka wala Panyaroads lakini sasa wametapakaa kila kona mtaani.

4.Tulijengewa akili ya kujitegemea lakini sasa tunajengewa akili ya kuwategemea waliotufanya watumwa kwa miaka mingi.

5. Rasilimali za Nchi zililindwa kwa nguvu zote lakini sasa ni shamba la Bibi.

NB:- Kwa nini wanaogopa sana facts kuhusu JPM mpaka wanafuta uzi ndani ya dakika chache?

Mpaka hapo nimeamini JPM ni chuma, jina lake tu likitajwa wanatetemeka.
Ni unafuu gani uliupata kwa Magufuli? Hivi umesahau Magufuli alikuta Kilo ya Sukari ni Tsh 1,800 akaivuruga ikafika mpaka Tsh 5,000 ?? Ilipoteremka ikagota Tsh 3,000.

Kuna watu wamepata hasara biashara ya korosho mpaka leo wamefilisika, kweli umesahau kuwa ni Magufuli ndiye alitibua?

Hivi alivyomfilisi Yusuf Manji ulitegemea wale wafanyakazi zaidi ya 3,000 wa Quality Group waende wapi? Ndiyo machinga wa mtaani unaowaona

Mbona hili Taifa lina wapumbavu wengi kiasi hiki?

Mwacheni Samia apige kazi hata kama mnamchukia mumchukie yeye binafsi lakini kazi yake ni TAKATIFU
 
Hofu ilikuwa juu sana na uhuru wa kujieleza uliwekwa kapuni, nchi ilikuwa inajizamisha kwenye udikteta taratibu. Kupotea na kupigwa risasi hadharani watu kama Lissu kulitosha kumfanya Mungu aingilie kati.
Lisu ndio mdudu gani na wewe?

Kuna watu 7 wa familia moja wameuawa wote kule kigoma juzi tu hapa, alafu unatuletea ngonjera za Lisu?
 
Mbona lipo wazi kua Hayati Magufuli , aliteuliwa na Mungu kwaajili ya Watanzania !!.

Kipande Cha sabuni Cha mia 300, saizi ni mia Tisa
 
Hesabu hazidanganyi kwa magufuli nauli havikupanda sababu kuu ilikuwa mlipuko wa ugonjwa wa covid ulikopeleka kuporomoka kwa Bei ya mafuta dunia mzima.kutokana na kushuka kwa Bei ya mafuta vingi vilishuka Bei ikiwemo mbolea nk.vitu vingi vilishuka Bei kutokana na ugumu wakulifikia soko la bidhaa yenyewe.ugumu wakufikia soko ulisababishwa na nchi nyingi kufunga mipaka yake.wakati huu tuliopo dunia mzima imekumbwa na mfumko wa Bei kwenye bidhaa nyingi dunian kutokana na uhaba wa mafuta kwenye soko la dunia ulisababishwa na vita inayoendelea huko Asia Kati ya urusi na ukraini.kitendo cha kuwekewa vikwazo vya kibiashara kwa urusi ambae ni mmoja wawazalishaji wakubwa wa mafuta kumepelekea mafuta kupanda Bei na hivyo gharama za usafilishaji kuongezeka katika Kila sekta.na hili ni tatizo la kidunia kwa walio katika mizunguko ya kibiashara na wanaosafiri katika maeneo mbalimbali duniani hili wanalijua.marekani watu wanalamika kupanda kwa gharama ya maisha uingereza vivyo hivyo.kwa anaeelewa ataelewa tu.asiyeelewa hawezi kuelewa.
Tumekuelewa,shukrani sana.Umetoa ufafanuzi mzuri.Kama ni Mwalimu au mkufunzi au Mhadhiri,mbali na kusomea uawalimu pia una kipaji,cha ualimu,ukufunzi uhadhiri.Mungu akubariki sana.
 
Hakuna cha JPM wala nini ni kutokujua mambo kwa wengi kama wewe

1. Bei ya mbolea imepanda Duniani kama ilivyo ya mafuta na tanzania wakati wa JPM hatukuwa tunatengeneza mbolea bali tulikuwa tunaagiza. Sasa je JPM angepata wapi mbolea kwa bei ya chini ambayo kwasasa wanashidwa kupanda. Angalau sasa kuna kiwanda kinajegwa Dodoma
2. Bei ya mafuta imepanda Dunia nzima hapa Texas mafuta yalikuwa $2.5 kwa gallon wakati wa Magufuli sasa ni $4.99 sasa hii ni Dunia nzima unafikiri JPM angewezaje kupunguza nauli au kuwaamrisha wenye magari wapate hasara. Kupunguza makati Mama Samia ametoa ruzuku kwenye mbolea na Mafuta kitu ambacho hata JPM hajafanya

Tumpe JPM sifa za ukweli sio uzushi kama huu.
Umeandika ukweli mtupu.
 
Enzi zake kengele ya nguvu ya dola ilililia kwenye mind ya kila mtu. Alivaa vilivyo viatu vya mamlaka yake. Maamuzi yake bila kujali usahihi wake yalikua na nia njema kwa wananchi wote
 
Ni kukosa ujasiri wa viongozi . Mafuta ya Urusi kwanini asinunue mbayo yana bei ndogo kwa ajili ya kukosa soko?
Hizo sababu si za msingi.
Tumepiga kura ya kutokuwa upande wowote wakati wa maazimio juu ya Urusi lkn bado tuko ndani ya boksi la vikwazo na tunaunga mkono . Huu ni UNAFIKI. Hatueleweki na Ulaya iliyoweka vikwazo maana hatukuwasapoti.
Wala hatueleki na Urusi maana tunatekeleza vikwazo. Whata shame. India , China zimetumia kura zao vzr.
Hatuna petrol refinery
 
Back
Top Bottom