Nulipoanza kujitegemea niliwahi kudate na binti kwao ni washirikina nawachawi,ila sikurogwa sababu maombi ya mana yangu mzazi yalizidi tunguli za kwao ba yule binti.
Baada tu ya kubreakup na huyo binti akaanza kudate na kijana mmoja ninaemfahamu,yule kijana alijikuta anamhonga binti gari yeyeanapanfa daladala,akamhonga laptop,akamlipia kodi,akachukua mkopo akamjengea nyumba wakati yeye hata kiwanja hana.
Nguvu ya mama kwa mtoto wake ni kubwa sana,ukiwa na mama mchawi au mwanamaombi hakuna wa kukugusa.
Mwalimu Nyerere alitegemea ulinzi wa nguvu ya mama yake,baada ya bi Christina Mugaya Burito Nyerere kufariki mwaka 1997 ,mwalimu hakumaliza miaka miwili,mshika mikoba hayupo utaishije.
Hayati Magufuli alikuwa na bond kali na mama yake,yule mama wa watu alipoanza kuugua tu baasi Magufuli hakakosa ulinzi wa kiroho moaka mauti ,naam mauti.
Usidharau nguvu ya mamq