JE, UTARATIBU WA MAHARI SI MZIGO KWA UPANDE WA MWANAUME?

Mkuu wewe umeoa..?
Nimeoa na sijalipa mahari, sijachangisha mtu, sijafanya mambo mengi ya ndoa za kibongo, na swali lako ni irrelevant kwa sababu suala hapa si mimi, suala ni hoja.

Nyerere alipinga mahari, kifalsafa, lakini alioa kwa mahari kwa sababu ya utamaduni wa kwao.

Hehe! Umeshajibu na maswali yangu yajayo!, ila swali langu lilikuwa rahisi mno halikuhitaji mpaka hoja za Nyerere.
 
Swali lako ni irrelevant kwenye hoja, kwa sababu jibu lolote halibadilishi hoja.

Yani hata ningekuwa nimeoa kwa mahari, hoja yangu ya kupinga mahari isingebadilishwa na jambo hilo.

Na hiyo ndiyo point ya kuonesha mfano wa Nyerere, mtu ambaye alipinga mahari, ila katoka ukoo wa Kichifu kwao kuoa kwa mahari ilikuwa lazima.

Swali lako linatoka kwenye kujadili hoja, linamjadili mtoa hoja. Ni kama swali la umbea tu.

Ndiyo maana nimesema ni swali irrelevant kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom