Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

Upo serious?
Ndio kutokana na mafundi wetu wa Kibongo kuunga unga nyaya za taa za booster na android zinaishia kuungua... Niliwahi kumiliki dualis hadi nauza ilikuwa fresh tu .. uwe na fundi wa uhakika .. ikitokea fault tumia diagnostic machine ku scan kwanza usiruhusu fundi aendelee bila ku scan .. ulaji wa mafuta pia ulikuwa mzuri .. niliuza sababu familia iliendelea kwa kubwa ..
 

Kwenye wese haipishani sana na ist?
Ulihamia chuma gani mkuu maana dualis ina 5 seats
 
Uko sahihi kwa asilimia 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…