Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ufahamu ni kitu muhimu sana. Kuna watu wanafata mikumbo tu 𤣠ila kwa mtu ambaye anajua gari ni nini wala show room haiwezi kuwa kigezo.Yani mimi unipe la showroom lina mileage chache uniuzie 19m halafu huyu mileage zimepshana na ya showroom kama 20,000 tu ananiuzia kwa 13m niache nichukue la showroom? ntakua sina akili.
Afterall gari zote zitakuwa ni za mtumba iwe used bongo au used Japan. Gari iliotumika kidogo bongo haiwezi kuwa na tofauti kubwa na ya Japan.