Je, utawala wa IST unafika Kikomo?


Rumion ndio zimechukua nafasi ya IST, sbb Rumion ni kubwa na cc 1500 na more stable kuliko IST
 
Rumion ndio zimechukua nafasi ya IST, sbb Rumion ni kubwa na cc 1500 na more stable kuliko IST

Sio kweli IST bado haijapata mrithi
But for me promising hatchback ni Aqua
Engine ni ileile ya IST 1NZ ila imekuwa modified into Hybrid system..very fuel efficient 1L ~30km

Sema zina grades pia L,S,G

Ukipata G class ni nzuri inakuja na premium features kama Reverse camera,Full options,seat heater fog light
 
Rumion ndio zimechukua nafasi ya IST, sbb Rumion ni kubwa na cc 1500 na more stable

Kila msimu na upepo wake...
Wewe umenena, kuna kipindi kila ukikaa pembezoni mwa barabara, ni Rav 4, zilikua zinatawala, Noah nazo zimenunuliwa sana, ila siku hizi hata barabarani zimeanza kutumika.
.
.Hivyo hata kwa IST, Upepo wake umeanza kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…