Je utendaji kazi wao unafanana na mikoa waliyopangiwa!!!!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa.

2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay.

3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo.

4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe.

5. Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu wakati huo, Blasius Chatanda

6. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande

7. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi
 
Iliyobaki huyu mama ushungi ni kuteua Mkuu wa majeshi mwana mama
 
1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa.

2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay.

3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo.

4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe.

5. Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu wakati huo, Blasius Chatanda

6. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande

7. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi
Kwani namba 5 hapo ni mwanamke?
 
Haitokaa itokee tena mwanamke kupewa nafasi kuongoza taifa hili just mrk my word!
 
Back
Top Bottom