Je, utetezi huu wa Wema Sepetu Mahakamani unaendana kabisa na Maadili ya Mwanamke wa Kiafrika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
“ Nilishindwa kupanda mahakamani, ninapofika kwenye siku zangu huwa napata maumivu makali, nilienda kuchoma sindano ya maumivu, nikapumzika kisha nikarudi nyumbani “

Hivi ni kwanini Wanawake wa Siku hizi huwa hawana Aibu hasa katika Kuongelea Masuala yao ya Hedhi jambo ambalo naamini kwa Maadili ya Kiafrika si vizuri Kuyaongelea hadharani hivi tena Mtu akiwa hana hata Chembe ya haya ( aibu ) au hofu?

Tujadili.
 
Siku hizi mambo hedhi yanajadiliwa hata bungeni. Siku hizi mambo ya hedhi yanaingizwa hadi kwenye bajeti ya nchi. Siku hizi mambo ya hedhi yanajadiliwa kati ya baba na binti yake...anapotaka fedha za kununua taulo.za hedhi. Siku hizi hata baba ana mnunulia binti yake taulo za hedhi. Jedhi ni jambo la kawaida tu kama kuumwa kichwa. Usi complicate sana
 
Lugha ya tafsida na kupunguza ukali wa maneno, haina nafasi mahakamani.
Tena hapo wema bado hakuongea vizuri.
Ilitakiwa aseme "akiwa katika kipindi cha hedhi" na siyo "siku zake".
Wengi wameshindwa kesi mahakamani kwa kuendekeza 'maadili' na matumizi ya lugha yenye staha.
Mfano ni mwanamke kutoa ushahidi na kusema 'alinivua nguo, halafu akanilalia", badala kusema " alinivua gauni, ananivua taiti, akanivua chupi, akafungua zipu, akatoa uume wake, akaingiza kwenye uke wangu....'
Mahakamani unatakiwa kuzungumza ulichokiona kwa macho, ulichokisikia, ulichohisi, ulichoonja na ulichonusa.
Ukijidai kutumia tafsida inakula kwako!
Kama umeshikwa matiti sema.
Kama unaumwa UKIMWi sema unaumwa ukimwi na usiseme ugonjwa wa kisasa
 
Kama alisema hayo kweli basi Wema kiboko aseee!

Alisema Kiongozi. Pitia Mtandao wa Azam Tv upate kila Kitu. Bangi zinamuharibu mno Wema Sepetu ndiyo maana wala hajali na haogopi.
 
Lugha ya tafsida na kupunguza ukali wa maneno, haina nafasi mahakamani.

Tena japo wema bado hakuongea vizuri.

Ilitakiwa aseme "akiwa katika kipindi cha hedhi" na siyo "siku zake".

Wengi wameshindwa kesi mahakamani kwa kuendekeza 'maadili' na matumizi ya lugha yenye staha.

Mfano ni mwanamke kotoa ushahidi na kusema 'alinivua nguo, halafu akanilalia", badala kusema " alinivua gauni, ananivua taiti, akanivua chupi, akafungua zipu, akatoa uume wake, akaingiza kwenye uke wangu....'

Mahakamani unatakiwa kuzungumza ulichokiona kwa macho, ulichokisikia, ulichohisi, ulichoonja na ulichonusa.

Ukijidai kutumia tafsida inakula kwako!

Kama umeshikwa matiti sema.

Kama unaumwa UKIMWi sema unaumwa ukimwi na usiseme ugonjwa wa kisasa

Asante sana Kiongozi kwa Elimu yako hii muhimu Kwangu ambayo kusema ukweli hapa hata Mimi umenifundisha Jambo. Ubarikiwe!
 
Wewe jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom