Je, utetezi huu wa Wema Sepetu Mahakamani unaendana kabisa na Maadili ya Mwanamke wa Kiafrika?

Je, utetezi huu wa Wema Sepetu Mahakamani unaendana kabisa na Maadili ya Mwanamke wa Kiafrika?

Wema Hana Wakili Maana Reuben Semwanza Ni Class mate wangu Law School Namjua Kichwani Hakuna Kitu, Wema Kama anataka Kutusua Asaodiwe na Msando Tu Zaidi Ya Hapo Hakuna La Maana
 
Wema Hana Wakili Maana Reuben Semwanza Ni Class mate wangu Law School Namjua Kichwani Hakuna Kitu, Wema Kama anataka Kutusua Asaodiwe na Msando Tu Zaidi Ya Hapo Hakuna La Maana

Wakili Msomi Msando hii ni ID yako? Naona umejipigia Promo la hatari hapo!
 
Lugha ya tafsida na kupunguza ukali wa maneno, haina nafasi mahakamani.
Tena hapo wema bado hakuongea vizuri.
Ilitakiwa aseme "akiwa katika kipindi cha hedhi" na siyo "siku zake".
Wengi wameshindwa kesi mahakamani kwa kuendekeza 'maadili' na matumizi ya lugha yenye staha.
Mfano ni mwanamke kotoa ushahidi na kusema 'alinivua nguo, halafu akanilalia", badala kusema " alinivua gauni, ananivua taiti, akanivua chupi, akafungua zipu, akatoa uume wake, akaingiza kwenye uke wangu....'
Mahakamani unatakiwa kuzungumza ulichokiona kwa macho, ulichokisikia, ulichohisi, ulichoonja na ulichonusa.
Ukijidai kutumia tafsida inakula kwako!
Kama umeshikwa matiti sema.
Kama unaumwa UKIMWi sema unaumwa ukimwi na usiseme ugonjwa wa kisasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena huku akijipanua kabisa Kiongozi mguu wake mmoja akiuelekezea Mashariki na mwingine Magharibi.
Teh teh..Vya kushangaa kwa huyu dada nadhani vimeisha..Sijui atafanya nn nishangae..
 
Siku hizi mambo hedhi yanajadiliwa hata bungeni. Siku hizi mambo ya hedhi yanaingizwa hadi kwenye bajeti ya nchi. Siku hizi mambo ya hedhi yanajadiliwa kati ya baba na binti yake...anapotaka fedha za kununua taulo.za hedhi. Siku hizi hata baba ana mnunulia binti yake taulo za hedhi. Jedhi ni jambo la kawaida tu kama kuumwa kichwa. Usi complicate sana
Umeandika facts kabisa, hedhi sio jambo geni tuache kucompicate mambo
 
“ Nilishindwa kupanda mahakamani, ninapofika kwenye siku zangu huwa napata maumivu makali, nilienda kuchoma sindano ya maumivu, nikapumzika kisha nikarudi nyumbani “

Hivi ni kwanini Wanawake wa Siku hizi huwa hawana Aibu hasa katika Kuongelea Masuala yao ya Hedhi jambo ambalo naamini kwa Maadili ya Kiafrika si vizuri Kuyaongelea hadharani hivi tena Mtu akiwa hana hata Chembe ya haya ( aibu ) au hofu?

Tujadili.
Wameruhusiwa na Serikali yako kujadili kwa uwazi haya mambo ya faragha
 
Siku hizi mambo hedhi yanajadiliwa hata bungeni. Siku hizi mambo ya hedhi yanaingizwa hadi kwenye bajeti ya nchi. Siku hizi mambo ya hedhi yanajadiliwa kati ya baba na binti yake...anapotaka fedha za kununua taulo.za hedhi. Siku hizi hata baba ana mnunulia binti yake taulo za hedhi. Jedhi ni jambo la kawaida tu kama kuumwa kichwa. Usi complicate sana
You nailed it!
 
Aibu siku hizi zimetuisha kabisa,nimeona clip moja ulaya watu wanatembea uchi kudai haki zao na watu wengine wako barabarani wanaendelea na mambo yao hakuna anae jali,nadhani hata huku kwetu iko siku tutajionea vihoja...
 
Back
Top Bottom