GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wamuache tu..huyo wakiendelea kumohoji ataweza hata kuwaonyesha damu inapotokea..
Kama alisema hayo kweli basi Wema kiboko aseee!
Wabongo kwa unafkiNajua kadanganya, ila tufanye ni ukweli...hebu tuambie alipaswa asemeje?
Lugha ya tafsida na kupunguza ukali wa maneno, haina nafasi mahakamani.
Tena japo wema bado hakuongea vizuri.
Ilitakiwa aseme "akiwa katika kipindi cha hedhi" na siyo "siku zake".
Wengi wameshindwa kesi mahakamani kwa kuendekeza 'maadili' na matumizi ya lugha yenye staha.
Mfano ni mwanamke kotoa ushahidi na kusema 'alinivua nguo, halafu akanilalia", badala kusema " alinivua gauni, ananivua taiti, akanivua chupi, akafungua zipu, akatoa uume wake, akaingiza kwenye uke wangu....'
Mahakamani unatakiwa kuzungumza ulichokiona kwa macho, ulichokisikia, ulichohisi, ulichoonja na ulichonusa.
Ukijidai kutumia tafsida inakula kwako!
Kama umeshikwa matiti sema.
Kama unaumwa UKIMWi sema unaumwa ukimwi na usiseme ugonjwa wa kisasa
Kuanzi sasa nitakuwa nahesabu mzunguko wake ili hata siku nikitembea nae kipindi cha hatari nichukue tahadhari nisimpe Mimba maana maana tarehe aliyoingia hedhi nimei-noteNajua kadanganya, ila tufanye ni ukweli...hebu tuambie alipaswa asemeje?
Lugha ya tafsida na kupunguza ukali wa maneno, haina nafasi mahakamani.
Tena hapo wema bado hakuongea vizuri.