Je, utetezi huu wa Wema Sepetu Mahakamani unaendana kabisa na Maadili ya Mwanamke wa Kiafrika?

Wema Hana Wakili Maana Reuben Semwanza Ni Class mate wangu Law School Namjua Kichwani Hakuna Kitu, Wema Kama anataka Kutusua Asaodiwe na Msando Tu Zaidi Ya Hapo Hakuna La Maana
 
Wema Hana Wakili Maana Reuben Semwanza Ni Class mate wangu Law School Namjua Kichwani Hakuna Kitu, Wema Kama anataka Kutusua Asaodiwe na Msando Tu Zaidi Ya Hapo Hakuna La Maana

Wakili Msomi Msando hii ni ID yako? Naona umejipigia Promo la hatari hapo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena huku akijipanua kabisa Kiongozi mguu wake mmoja akiuelekezea Mashariki na mwingine Magharibi.
Teh teh..Vya kushangaa kwa huyu dada nadhani vimeisha..Sijui atafanya nn nishangae..
 
Umeandika facts kabisa, hedhi sio jambo geni tuache kucompicate mambo
 
Wameruhusiwa na Serikali yako kujadili kwa uwazi haya mambo ya faragha
 
You nailed it!
 
Siku hizi hata mtoto mdogo wa darasa la tatu anajua mwanamke anapata hedhi ni nini!
 
Aibu siku hizi zimetuisha kabisa,nimeona clip moja ulaya watu wanatembea uchi kudai haki zao na watu wengine wako barabarani wanaendelea na mambo yao hakuna anae jali,nadhani hata huku kwetu iko siku tutajionea vihoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…