matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
acha majungu bro.Utakuwa umerogwa wewe!
Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?
Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!
Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Eti kama Makamba alivyofaulu,mnazidi kumpalia makaa ya mawe,hata kama kakutumaZamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.
Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.
hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Lord denning nafikiri mtoa Uzi ameandika kwa SARCASM (KEJELI) ya hali ya juu sana.Utakuwa umerogwa wewe!
Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?
Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!
Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Basi sikumpata vizuriπ€£Lord denning nafikiri mtoa Uzi ameandika kwa SARCASM (KEJELI) ya hali ya juu sana.
Nilivyomuelewa ni kwamba; Toka Rais SSH ameanza kufanya kazi kila anachofanya au kutamka anabezwa na makundi mbalimbali yaliyokuwa na masilahi kwa utawala wa Magufuli. Kwa mfano alipopokea ndege walisema kapokea zilizonunuliwa na "mbeba maono"
Hili la machinga lilikuwa lilete mtafaruku mkubwa sana ukizingatia machinga wamejijenga sana katika miaka 5 iliyopita.
Mtoa mada @matanduizi ameandika kama kuwakejeli wanaomponda Mama kuwa kila kizuri kiliganyika sababu ya Mwendazake
Yaan Hawa Misukule ya dikteta Wana tabu aiseeKwamba mama asikilizwi hadi huyo marehemu wenu
Keynez siyo lazima uandike JF, sometimes soma tu points za wenzako utafaidika. Badala ya kupongeza kuwa zoezi limekwisha salama kwa machinga kutoka barabarani, wewe unaona wameonewa kwa kupelekwa ndani.Wamepuliziwa moshi wa mwenge wakapumbazwa. Wakija kushtuka wapo vichochoroni huko ndani ndani π€£ππ€£
Kuwa na upinzani imara ni jambo muhimu sana
Watanzania wangeelewa umuhimu wa hilo wangeulinda upinzani kwa wivu mkuu. Sasa hivi CCM na Serikali inafanya lolote inalotaka na hakuna wa kuizuia. Inasikitisha sana.
Na wala siwatetei machinga. Mimi ni mmoja wa ambao wanakerwaga sana na vibanda vyao vinavyochafua taswira ya miji, kuleta foleni barabarani na bughudha kwa wapita njia.
Kunywa sumu Kama unamchukia Makamba,ndio Rais huyo wa 2035 mama akimaliza!Eti kama Makamba alivyofaulu,mnazidi kumpalia makaa ya mawe,hata kama kakutuma
Wapi nimesema wameonewa? Hata huku vichochoroni nisingependa waje wajenge mauchafu yao. Hawa watu wafuate sheria kama wengine wanavyotakiwa kufuata sheria, inatosha sasa. Tatizo serikali yenyewe ni mvunjaji wa sheria namba moja.Keynez siyo lazima uandike JF, sometimes soma tu points za wenzako utafaidika. Badala ya kupongeza kuwa zoezi limekwisha salama kwa machinga kutoka barabarani, wewe unaona wameonewa kwa kupelekwa ndani.
Nyie ndiyo mnasababisha WAPINZANI wapuuzwe.
Mwacheni Mwendazake apumzike. Msilazimishe "legacy" πZamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili nyingi sana.
Apandishwe cheo.
Amefaulu kama alivyofaulu Makamba enzi za mifuko ya plastic.
hata kama baadae wakileta fujo, ila sasa wanafanya vizuri.
Nafikiri ni zaidi ya Makalla.Huyu Makalla nilimuunderestimate sana, ila anaweza kwa kweli. Amenishangaza sana, sikumtegemea kama ni mtemdaji mzuri. Au nilikuwa simjui.
Legacy ya Muda mrefu nadhani huwa inalazimishwa baada angalau ya miaka kumi.Mwacheni Mwendazake apumzike. Msilazimishe "legacy" π
Ni kweli "Magufuli is dead"na hatorudi tena.Utakuwa umerogwa wewe!
Maamuzi atoe Rais Samia kuwa wapangwe bila fujo au kuharibiwa vitu vyao alafu sifa zimwendee Magufuli?
Nadhani chuki zako dhidi ya Samia zitakupa ukichaa!
Mafanikio yanayoonekana katika kupangwa upya kwa Wamachinga ni matokeo ya uongozi wa Rais Samia ambaye anaamini kwenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu
Hekima kubwa.Ni kweli "Magufuli is dead"na hatorudi tena.
Ameweza kuyafanya aliyejaaliwa na yale ambayo hakuyafanya hakujaaliwa.
Likewise Mama Samia atafanya atakayojaaliwa na yale ambayo hatoyafanya atakuwa hakujaaliwa.
Kama mnavyopambana kufuta Legacy ya mwendazakeMwacheni Mwendazake apumzike. Msilazimishe "legacy" π