Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

Kwa hili la Machinga serikali wameukandamiza mwingi! Now kubwa lililobaki ni kutengeneza mazingira ya watu kufanya siasa ya kistaarabu na uhuru bila mikwaruzano na vyombo vya Dola, kutukanana, kuzushiana uongo na kupigana! Udokozi wa kura nao ukomeshwe
 
Mwingi sana.
 
Machinga ni timing bomb. Hapa Jijini Mwanza wanasema hakuna shida.
 
Mtaongea yote ila uholela awamu hii marufuku,tunataka Kodi sio kulea uzembe na uchafu.
 
Mkuu umekuwa Iniesta safi sana unaupiga mwingi sana.
 
Hoja yako ni Makamba,huyo hata ukimuoshaje laana ya kumuhujumu Jiwe itamtafuna tu.
 
Kariakoo - Msimbazi leo kimewaka, polisi na machinga
 
Tumewatoa Sababu Ile Siku Kawe Tunawauliza "Tunachanja Hatuchanji " Wao Wanajibu Hatuchanji

Teh
Roho ngumu sana hiyo.

Ni upendo kwa mama. Nani kama mama?

Akisema inakuwa, akikataza inakuwa

Ukizingua anakuzingua. Mama ni mama hayo ni mamlaka pekee ya asili alonayo yanayoweza fanya jambo gumu likafanyika bila ukorofi.
 
acha majungu bro.
unawagombanisha viongozi wako.
Ukisifu awamu iliyopita umemsifu na Makamu wa awamu iliyopita.

ndio maana nimeweka alama ya kuuliza, Shule mbona hazisaidii jamii?
Makamu na Rais ni vitu viwili tofauti. Ni mazingira ya kisiasa yanayowaweka pamoja na sio zaidi ya hapo.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…