Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Kwenye manual ya gari yangu wameandika kabisa, kati ya vitu vinavyoongeza matumizi ya mafuta ni AC, pamoja na trafic jam
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi binafsi nilishasemaga sitashusha kioo cha gari ni full AC tu. Aliniambiaga fundi wakati nanunua gari yangu ya kwanza na nimeshaweka akilini kuwa kiyoyozi akili mafuta sana kama watu walivyokaririshwa
Mmefukua kaburi.
 
Sijawahi zima ac hata siku moja..

Na vumbi letu si gari litafubaa mapema sana kisa ubahili.
 
[emoji3][emoji3] si unamshusha tu akapate airfresh huko huko nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…