Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Nina gari nne za kutembelea nina vits old model ya 2000, Harrier Hybrid ya 2010, Prado TXL 2016 na nina Nissan Dualis nimemnunulia mtoto wangu kuendea chuo. Sina matatizo ya kiuchumi hata kidogo na sina shobo vile vile ukiuliza nakujibu
Sorry mkuu! Hiyo harrier hybrid ya 2010 inakupa kilometer ngapi kwa lita moja?
 
Mbona hizo km ni chache sana kwa gari ambayo ni hybrid....?

Hata mtu wa 3s anapata hizo km
Actually mimi sio mtaalam wa kupiga hizo hesabu za km kwa mafuta, hapo nimefanya kuwa ninatumia mafuta ya 20k kutoka home kwenda Posta na kurudi (jumla km 40) ndio nimefanya wastani huo. Halafu issue za mafuta kwa umri wangu sio issue tena
 
Actually mimi sio mtaalam wa kupiga hizo hesabu za km kwa mafuta, hapo nimefanya kuwa ninatumia mafuta ya 20k kutoka home kwenda Posta na kurudi (jumla km 40) ndio nimefanya wastani huo. Halafu issue za mafuta kwa umri wangu sio issue tena
sasa mbona unaweka ya 20k kama mafuta sio issue?
 
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC[vioo wazi].

Kiufundi ili AC ifanye kazi inahitaji nguvu ya ziada kutoka kwenye engine ili compressor izunguke,sitaingia kiundani kwasababu mimi sio mtaalam wa AC. Na kwa kuzingatia hili watu wengi wanaamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC.

Hili si kweli. Ukitumia AC gari inatumia nguvu zaidi LAKINI ukiacha vioo wazi gari inatumia nguvu zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Vioo vikiwa wazi gari inatengeneza kitu kinaitwa 'DRAG' yaani upepo unajaa ndani ya gari na kuifanya iwe nzito kwahio inatumia nguvu nyingi kutembea kuliko ukifunga vioo na kutumia AC.

Kwenye speed ya 80kph ukifungua vioo unatumia mafuta 20% zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Kwa maelezo haya nahitimisha kuwa UKITUMIA AC GARI INATUMIA MAFUTA KIDOGO KULIKO USIPITUMIA AC NA KUACHA VIOO WAZI.

Hiki nilichoandika hapa ni scientifically proved ya SOCIETY OF AUTOMOBILE ENGINEERS[SAE],sikuweka link ili nichangamshe mada,jisomeeni hapo chini. page 1,2 even 3 mkiweza

Windows down or A/C on -- which is more fuel-efficient?

CC: OLESAIDIMU MANI Kaizer Kalamzuvendi Titans
nakubaliana na ww mkuu Ila tu ,kutokana na kibaby walker ninachotumia kina econ button yan ukibonyeza hapo mambo murua ,kwanza inacontrol throttle response kwa kulimit downshifting kwa hy yan burudan kwa foleni za mjini.....
 
Ukitembea na ac highway range ya speed iwe 80 to 100 gari itakula mafuta sawa kabisa na kama umezima ac, ikianza 120 mpaka futa hari inakula mafuta mengi sana ikiwa ac on, na inakula mengi hata ikiwa off but ukiweka ac ni inabwia hatar, coz inatumia nguvu kubwa sana kusukuma compressor na huwa inawaka bila kupumnzika. Ukiwa na speed ndogo 60 kushuka gari hula mafuta mengi sana ikiwa kwenye ac.
Ukiweka ac unaenda umbali mrefu kwa gari za kisasa uwa kuna taa ya ECO haiikisha haizimi muda wote wa safari na huwa inazima gari inapoanza speed ya 121km/hr
 
Back
Top Bottom