M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Ukute unalodai Gari Ni PASSOMimi binafsi nilishasemaga sitashusha kioo cha gari ni full AC tu. Aliniambiaga fundi wakati nanunua gari yangu ya kwanza na nimeshaweka akilini kuwa kiyoyozi akili mafuta sana kama watu walivyokaririshwa
Nina gari nne za kutembelea nina vits old model ya 2000, Harrier Hybrid ya 2010, Prado TXL 2016 na nina Nissan Dualis nimemnunulia mtoto wangu kuendea chuo. Sina matatizo ya kiuchumi hata kidogo na sina shobo vile vile ukiuliza nakujibuUkute unalodai Gari Ni PASSO
Ha ha ha wewe jamaa bhana humu wanakukoma!Nina gari nne za kutembelea nina vits old model ya 2000, Harrier Hybrid ya 2010, Prado TXL 2016 na nina Nissan Dualis nimemnunulia mtoto wangu kuendea chuo. Sina matatizo ya kiuchumi hata kidogo na sina shobo vile vile ukiuliza nakujibu
Kuna watu humu inabidi waelekezwe kikatili maana wana madhereu kwa watu wasiowajua. Ukute nachat na mtoto wangu wa chuo. Namnunulia vifaa vya kusomea anazodoa wazaziHa ha ha wewe jamaa bhana humu wanakukoma!
huyo ndio funzadume 😀😀😀Ha ha ha wewe jamaa bhana humu wanakukoma!
Sorry mkuu! Hiyo harrier hybrid ya 2010 inakupa kilometer ngapi kwa lita moja?Nina gari nne za kutembelea nina vits old model ya 2000, Harrier Hybrid ya 2010, Prado TXL 2016 na nina Nissan Dualis nimemnunulia mtoto wangu kuendea chuo. Sina matatizo ya kiuchumi hata kidogo na sina shobo vile vile ukiuliza nakujibu
Sorry mkuu! Hiyo harrier hybrid ya 2010 inakupa kilometer ngapi kwa lita moja?
Mbona hizo km ni chache sana kwa gari ambayo ni hybrid....?8km kwenda 10km
Actually mimi sio mtaalam wa kupiga hizo hesabu za km kwa mafuta, hapo nimefanya kuwa ninatumia mafuta ya 20k kutoka home kwenda Posta na kurudi (jumla km 40) ndio nimefanya wastani huo. Halafu issue za mafuta kwa umri wangu sio issue tenaMbona hizo km ni chache sana kwa gari ambayo ni hybrid....?
Hata mtu wa 3s anapata hizo km
sasa mbona unaweka ya 20k kama mafuta sio issue?Actually mimi sio mtaalam wa kupiga hizo hesabu za km kwa mafuta, hapo nimefanya kuwa ninatumia mafuta ya 20k kutoka home kwenda Posta na kurudi (jumla km 40) ndio nimefanya wastani huo. Halafu issue za mafuta kwa umri wangu sio issue tena
Sio naweka nimesema natumia. Wese sio issue kabisa im old and capable na namwekea mafuta mpk mtoto wangu wa chuosasa mbona unaweka ya 20k kama mafuta sio issue?
Mtoto wako yule anatumia Nissan Dualis?Sio naweka nimesema natumia. Wese sio issue kabisa im old and capable na namwekea mafuta mpk mtoto wangu wa chuo
Mi mwenyewe kwenye kuwasha ac sijawah waza habari ya mafutaBinafsi huwa nawasha au kuzima AC kutokana na uhitaj wangu wakat husika, mafuta hayajawah kuwa factor to me
nakubaliana na ww mkuu Ila tu ,kutokana na kibaby walker ninachotumia kina econ button yan ukibonyeza hapo mambo murua ,kwanza inacontrol throttle response kwa kulimit downshifting kwa hy yan burudan kwa foleni za mjini.....Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC[vioo wazi].
Kiufundi ili AC ifanye kazi inahitaji nguvu ya ziada kutoka kwenye engine ili compressor izunguke,sitaingia kiundani kwasababu mimi sio mtaalam wa AC. Na kwa kuzingatia hili watu wengi wanaamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC.
Hili si kweli. Ukitumia AC gari inatumia nguvu zaidi LAKINI ukiacha vioo wazi gari inatumia nguvu zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Vioo vikiwa wazi gari inatengeneza kitu kinaitwa 'DRAG' yaani upepo unajaa ndani ya gari na kuifanya iwe nzito kwahio inatumia nguvu nyingi kutembea kuliko ukifunga vioo na kutumia AC.
Kwenye speed ya 80kph ukifungua vioo unatumia mafuta 20% zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Kwa maelezo haya nahitimisha kuwa UKITUMIA AC GARI INATUMIA MAFUTA KIDOGO KULIKO USIPITUMIA AC NA KUACHA VIOO WAZI.
Hiki nilichoandika hapa ni scientifically proved ya SOCIETY OF AUTOMOBILE ENGINEERS[SAE],sikuweka link ili nichangamshe mada,jisomeeni hapo chini. page 1,2 even 3 mkiweza
Windows down or A/C on -- which is more fuel-efficient?
CC: OLESAIDIMU MANI Kaizer Kalamzuvendi Titans