Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Apr 8, 2023 #1 Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
B Burungutu sandawesu Senior Member Joined Sep 11, 2022 Posts 153 Reaction score 261 Apr 8, 2023 #2 Kipimo tosha cha maadili na uwajibikaji na sisi wananchi tunawapa 0 out of 100%, alafu masikini mmoja kule bumbuli bado atamchagua yule yule jemedari mkwamishaji
Kipimo tosha cha maadili na uwajibikaji na sisi wananchi tunawapa 0 out of 100%, alafu masikini mmoja kule bumbuli bado atamchagua yule yule jemedari mkwamishaji