Je, uzalendo ni kwa walalahoi tu mbona viongozi wetu hawaoneshi kwa vitendo?

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Je wajua ??

1. Raisi halipi kodi

2. Makamu wa raisi halipi kodi

3. Waziri mkuu halipi kodi

4. Mawaziri hawalipi kodi

5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi

6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi

7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi

8. Wabunge hawalipi kodi

Hawa wote hakuna hata Senti Moja inayoguswa kwenye mishahara yao

Hakuna usawa kwenye nchi hii wengi wameteseka na wengine wameonewa hasa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali na wakulima

Elimu Elimu Elimu Elimu
Tuielimishe jamii ipate mwamko wa kupambanua mambo kwa ukweli na uwazi.

Tusipumbazwe na kauli za kinafiki kuwa tuwe WAZALE DO wakati viongozi wetu wanakula rasilimali za nchi bure bila jasho!

Katiba mpya ni muhimu
 
Kama ni kweli hawawezi kupata peace of mind !! Lakini mimi naamini mishahara yao lazima inakatwa kodi !!
 
Je wajua ??

1. Raisi halipi kodi

2. Makamu wa raisi halipi kodi

3. Waziri mkuu halipi kodi

4. Mawaziri hawalipi kodi

5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi

6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi

7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi

8. Wabunge hawalipi kodi

Hawa wote hakuna hata Senti Moja inayoguswa kwenye mishahara yao

Hakuna usawa kwenye nchi hii wengi wameteseka na wengine wameonewa hasa wafanyakazi, wafanyabiashara, wajasiriamali na wakulima

Elimu Elimu Elimu Elimu
Tuielimishe jamii ipate mwamko wa kupambanua mambo kwa ukweli na uwazi.

Tusipumbazwe na kauli za kinafiki kuwa tuwe WAZALE DO wakati viongozi wetu wanakula rasilimali za nchi bure bila jasho!

Katiba mpya ni muhimu
Mkuu Mafao na Marupurupu wanayolipwa VIONGOZI wetu ni kufuru Hakuna Kiongozi MZALENDO TANZANIA wote ni Wapigaji
 
Back
Top Bottom