MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kama hizi taarifa ni za kweli basi ni heri.tulishawalipa wote, mdeni wa mwisho ni Dowans, tumemlipa juzi kati hapa yule mbulushi, ndio akanunua hisa za Petra Diamonds!.
P
Dreamliner kwa short routes ni hasara sana. Kuna analysis niliiona mahala ambayo inasema kupata profit kwenye dreamliner, at minimum, ndege iwe inajaza abiria kuanzia 3/4 ya maximum capacity, na pia iruke si chini ya masaa 8 per day. ku-ground ndege pia ni gharama kubwa in terms of maintainance kulik kuihudumia ikiwa ipo active. I stand to be correctedATCL kwa sasa haina uwezo huo wa kupata slots ya direct flight to NY ama DC wacha mbwembwe ng’wanone
Airbus A220-300 zinaenda km 6600 average. Newyork ni km 12000 Lazima ijaze mafuta kuvuka Atlantic ocean.hata Airbus ni long haul.
P
Positive thinking ila nadhan ishu ni mapokeo ya decision makers. Binafsi siamini kwenye kila kitu kufanywa na serikali, na wala haihitaji kufanyike tafiti ya maana kuweza kugundua kwamba kwenye service industry serikali ilishashindwa pakubwa na bado inaendelea kushindwa pakubwa, kama serikali kweli inania ya kumiliki hizo ndege, basi kwenye kuzi-advertise hizo ndege wawape makampuni binafsi wenye uzoefu-Kwenye hili umeona mbali sana na umekuwa very balanced-na ingekuwa mm pengine ningeongea very harshly sababu sioni maono yao ni yepi kabisa na pesa ni zetu walipa kodi. Serikali haziwezi kufanya kila kitu yenyewe, ni lazima iwainue wengine pia nao wastawiUkiondoa issue ya US visa restrictions, kampuni yangu ya PPR, ningepewa tenda ya kuijaza Dreamliner, nakuhakikishia ningepata abiria 500!.
P
Ukiondoa issue ya US visa restrictions, kampuni yangu ya PPR, ningepewa tenda ya kuijaza Dreamliner, nakuhakikishia ningepata abiria 500!.
P
Vipaumbele vya hii nchi wenzetu wenye akili timamu wakitusikiliza wanatucheka sana aiseeZile zilikuwa stori za kwenye vijiwe wa vya kahawa, zile zilikuwa zama za propaganda za kuhalalalisha kununua ndege kwa keshi. Baadaye tukaambiwa korona imesababisha zisianze, sasa hivi korona imeisha kuko kimyaaa.
Nchi haina vipaumbele hii ina vipa-mbele aka kula kwanza.Vipaumbele vya hii nchi wenzetu wenye akili timamu wakitusikiliza wanatucheka sana aisee
leta sababu nyingine aisee ila sio hilo la ujamaa 😂Ndege zetu kuingia kwa mabeberu sio simple kivile kiusalama wale jamaa wanajiamini wao tu hasa history ya ujamaa wetu inawapa shida wamarekani
USSR
Kenya Airways walipewa route ya New York to Nairobi lakini lilbidi waiache kwani walikuwa wanapata hasara!!!Kuingiza ndege USA direct kutoka Tanzania sio rahisi kama unavyodhani. Kenya walikua na hiyo ruhusa sijajua kwa sasa wanaendeleaje.
Kuna michakato mingi sana ya kiusalama before kupewa hicho kibali.
Nitashangaa sana kama hata hili haulifahamu.
Hivi wkt Bwn yule analinunua hakujua yote haya?Au alikua ana interest gani kwny kununua hizo ndege?Dreamliner kwa short routes ni hasara sana. Kuna analysis niliiona mahala ambayo inasema kupata profit kwenye dreamliner, at minimum, ndege iwe inajaza abiria kuanzia 3/4 ya maximum capacity, na pia iruke si chini ya masaa 8 per day. ku-ground ndege pia ni gharama kubwa in terms of maintainance kulik kuihudumia ikiwa ipo active. I stand to be corrected
Mikataba yenyewe ya manunuzi naskia haijulikani.Hivi wkt Bwn yule analinunua hakujua yote haya?Au alikua ana interest gani kwny kununua hizo ndege?
Hv Across Atlantic madege yanatumia muda gani? Mzungu Mzungu tu aseeAtc haiwezi kupewa hizo route kwa ndege hizi mbili tatu. Dreamliner yenyewe sio moja tu? Utapeleka mapanga across the Atlantic?
Hawa wezi wanaangalia 10% wanayopewa basi, mambo mengine hayawahusu!!!Hivi wkt Bwn yule analinunua hakujua yote haya?Au alikua ana interest gani kwny kununua hizo ndege?
Inategemea unavukia kutoka wapi. West Africa inaweza kuwa masaa nane. Kama south Africa basi around masaa 16.Hv Across Atlantic madege yanatumia muda gani? Mzungu Mzungu tu asee
Saa 16 upo baharini tu? Kuna siku nilikua Accra nikaona watu wana-board Delta Airline to Atlanta aisee nikasema one day yesI
Inategemea unavukia kutoka wapi. West Africa inaweza kuwa masaa nane. Kama south Africa basi around masaa 16.
Hiyo cha mtoto. Ipo ile ya Australia to US, masaa 21 non-stop.Saa 16 upo baharini tu? Kuna siku nilikua Accra nikaona watu wana-board Delta Airline to Atlanta aisee nikasema one day yes
Qantas? Niliwahi kwenda Australia kufika Sydney nikawa naunga Tena Brisbane (yaani safari ya Sydney to Brisbane = 5 hours ndani ya nchi moja tu) nilistaajabu Sana. Huku tulishalishwa Sumu ooh Tanzania nchi nzuri sijui kubwa. Kumbe hatujatembea badoHiyo cha mtoto. Ipo ile ya Australia to US, masaa 21 non-stop.
Yeah Qantas. Ile sio nchi tu, ni bara.😅Qantas? Niliwahi kwenda Australia kufika Sydney nikawa naunga Tena Brisbane (yaani safari ya Sydney to Brisbane = 5 hours ndani ya nchi moja tu) nilistaajabu Sana. Huku tulishalishwa Sumu ooh Tanzania nchi nzuri sijui kubwa. Kumbe hatujatembea bado