Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana shutumu kuwa aliongozana na watu wengi sana wa serikali unnecessarily!!Kwa hiyo unadhani alienda peke yake?
mmmm naomba nipite kimya kimya ila kuna mdau hapo juu amekomenti kwamba kwa nn hii tour isingeitwa the royal safari tour nadhan hii ingesound good sana kwa sabb kuna kiswahili pale katiMama nae kama ana danga flani hivi