Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

Waste of money kauli za kwamba hilo tangazo ni la bure ni la kupuuzia hakuna kitu cha bure kwa mzungu.
 
Tanzania inazidi kupaa kimataifa sasa sisi level yetu ni marekani na nchi kama hizo.
 
Mama nae kama ana danga flani hivi
mmmm naomba nipite kimya kimya ila kuna mdau hapo juu amekomenti kwamba kwa nn hii tour isingeitwa the royal safari tour nadhan hii ingesound good sana kwa sabb kuna kiswahili pale kati
 
Back
Top Bottom