Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #41
Mwanakijiji,
Unaweza kui print hii "modest proposal" kwenye magazeti bongo under your name?
watafungiwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanakijiji,
Unaweza kui print hii "modest proposal" kwenye magazeti bongo under your name?
Mwanakijiji,
Ulikuwa bored nini? Sidhani kama Wachagga wako wengi hivyo kwenye idara mbalimbali.
Kazi za serikalini iwe kwa uwezo wa mtu. Kwenye siasa ndiko inatakiwa kuwa mwangalifu lakini sio serikalini.
gaijin,
..Chacha Wangwe alikuwa challenged kuhusu madai yake ya Wachaga na wabunge wanawake wa Chadema kwamba Mama Anna Komu ni mzaliwa wa Zanzibar.
..majibu yake yalikuwa mama huyo ameolewa Uchagani, watoto wake ni Wachaga, hivyo ni wa huko huko Uchagani.
..tena mara nyingine watu wenye hoja kama za Chacha Wangwe huwatumbukiza hata Wapare ktk kundi moja na Wachaga, kuunda kabila la Wakilimanjaro.
Mkjj,unachomaanisha hapa kitaeleweka sana na wachache.Na katika jamii yenye watu wa aina mbalimbali utakuta kuna wale ambao kwa mfano ulipotaja wachaga,wanaweza wakajitokeza wachaga wakareact emotionally as a response kwa ulichoandika hapa though unamaanisha kitu kingine hapa.
Hapo huoni utakua umeiweka jamii katika delicate situation? Haya masuala yanayohusiana na ukabila na Udini au rangi ni masuala ambayo ni delicate sana.For example hii post hapa pengine unataka watu wajaribu kuvuta picha halisi ya kile ambacho kitatokea au madhara yatakayotokea endapo mambo uliyoandika hapo yatakua imlemented,but people with different perceptions will swallow it in a different way.
Mimi nina OMBI moja...!
Nataka uweke viongozi hao wachagga hapa ili tujuwe ni wangapi wa kuteuliwa na wangapi walichaguliwa na wananchi!
Maana naona hapa issue ni kuwa kuna upendeleo!
Na pia tunataka majina ya wale wote waliohusika kwenye UFISADI ILI TUONE KAMA NI WACHAGGA..Hili ni ombi...Na madhumuni yake ni ili Ufisadi ushughulikiwe na si wachagga!
Sasa kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini kumeshawahi kuwa na rais mchagga!
Naomba listi ya hao wachagga kabla sijatoa msisitizo wangu kuwa huu ni mpango mahsusi wa kuligawa taifa!
Ama hii ni hoja ya majimbo kwa mlango wa nyuma!
Nataka uweke dataz hapa...Na pia tuone kama wamehusika vipi na UFISADI.
Na kama ikionekana kuwa Wachagga ndiyo mafisadi...Basi na mimi nitajivua uchagga!
A MODEST PROPO
Katika kufanya hivyo jamii ya Watanzania ambao inaona ukabila wa wachagga katika sehemu nyingi itaridhika kwani kwa mara ya kwanza tutakuwa tumeshughulikia chanzo cha matatizo yetu mengi.
Wachaga ndo chanzo cha matatizo?hivi kwa mfano hao mawaziri walijiudhuru kwa ufisadi ni wachaga?mkjj jamani hizi issue za ukabila hazifai!
Jmushi... tafuta orodha hiyo wewe mwenyewe. Badala ya kuomba kaa chini na kusanya majina ya wabunge wote, idara mbalimbali n.k halafu uamue. Sijui ni nani unayemwomba hizo orodha. Usisubiri mwingine akufanyie kile unachoweza kufanya wewe mwenyewe.
I know.. ndio maana napendekeza Wachagga wakae pembeni tu kwa muda... ili tupate watu wa makabila mengine ili tuwalaumu
I know.. ndio maana napendekeza Wachagga wakae pembeni tu kwa muda... ili tupate watu wa makabila mengine ili tuwalaumu.
Hata waziri mkuu sidhani!lHivi tumewahi kuwa na raisi mchaga?