Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?
Duh,Hayaaa,bora mie bado! kwi kwi

Mkuu,
Kwanza ahsante kwa kunikumbusha kwamba Mramba ni Mchaga.
Mimi naona "system" ya majimbo ndio suluhisho la pekee kwa matatizo ya Tanzania na umaskini utaondoka kwa haraka.
Suala hili haliwezi kutimia iwapo bado bajeti yetu itategemea wahisani na wafadhili wengine ambao hawatakuwa na say yoyote ile huko majimboni.
Hawa watu wanakuwa na "say" kwa sasa kwa sababu kuna central government na ndio yenye say kuhusu hata kodi ya viwanja ambayo ianapaswa kuendeleza majimbo hayo.
Halafu unajua kwamba hili tatizo limekomaa na bila hatua za haraka kulimulika basi tutajikuta siku moja tuna matatizo.
Kwasababu UFISADI ULIFANYWA NA MWARABU WA IRANI NA WATUMWA WAKE NA SI "WACHAGGA"
NA SASA MWARABU HUYO HUYO KATOKA MSIKITINI HADI KANISANI MARA BAADA YA MBINU A KWANZA YA KUMTUMIA WANGWE NA BAADHI YA WAKURYA KUKWAMA!
Hawa watu wanakuja nchini mwetu wakiwa wamesha isoma historia yetu!
NI WAJUMBE WA SHETANI!
tatizo ni kwamba kuna watu wanajali sana hadhi zao kiasi kwamba hawapendi kuudhi watu... I'm not one of them.
Well.. mimi nimetoka Ungonini nikiwa na damu ya Kinyakyusa, nimeoa Uchagani, ambako mama Mkwe ni Mhaya ambaye mama yake ni Mzaramo!
Kumbe ushaoa. Sasa mbona una entertain kuwapiganisha wakina Lydia Ngosha na Mwafrika wa Kike? Si uachie makoloni hayo nchi zingine zisizoendelea zikatafute malighafi huko?
WanaJF,
MMK nashukuru kwa makala yako. Nilikujibu kule kwenye CEO WA TANROAD bila kujua kuna makala mpya. Najua lengo lako la kuandika hili ni kuwasha MOTO. Huu moto hata mie ndiyo lilikuwa lengo langu kuwa hii habari ni vema tuijadili ikibidi tuanze kufikiri nini kifanyike maana huko twendako inaweza kuwa hali mbaya. Mama kasema kuwa sasa hivi wasomi wengi Tanzania hivyo wengi kukataa kuwa akina Msuguri. Sasa wanakuta juu KUMEZIBWA. Hapa kwenye neno KUMEZIBWA kuna maana nyingi saana na chanzo chake kiko kwa walioziba na waliozibiwa. Ila ningelipenda pia kusema "form uliyotumia kuandika inaweza kuleta maana mbilimbili". Moja wapo ambayo naweza kuina haraharaka ni hii kuwa "Wachaga wakiondoka, nyie Wadanganyika mtafanya nini..?" Inanikumbusha yale maneno "mimi ndiyo njia ya kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi.." Anyway huo ni muono wangu. Na hata wakiondoka ukweli ni kwamba "Kufa hatutakufa ila Cha mtema kuni tutakiona.."
Naomba niweke ile makala yangu iliyokuwa kwenye thread nyingine....::>>>>
Hapa tatizo si WACHAGA. Kwa wengine tunajua hili ila "ukiingia kichwani kwa watu wasioona mbali kwa mbele na kwa nyuma utaona kabisa wao tatizo ni Mchaga/Mhaya..." Tatizo ni kuwa kwa nini wengine WAMEBAKI NYUMA? Wamebaki nyuma kiasi kwamba hata ungelikuwa Chenge, ukitaka kuajiri na kutafuta hizo SIFA utaona kuwa waliokuzunguka ni Wachaga/Wahaya. Nilipokuwa JKT tulikuwa tunaandikisha na dini yako/Kanisa. Mhhh, asilimia 90 ya watu JKT walikuwa WAKATOLIKI. Pia hapa ukitaka kuajiri utaona kuwa WANAOSTAHILI ni hawa Wakatoliki. Sasa tatizo ni WAKATOLIKI WANAPENDELEANA??? Hapa tatizo ni kama alilosema Jokakuu na mimi kulielezea mapema kuwa ni HISTORIA imefanya hivi. Tatizo si kuwa WACHAGA waache kazi au wasiajiriwe. Itakuwa yaleyale ya Uganda kufukuza Wahindi ingawa kuna wengine wanasema INAWASAIDIA SANA LEO. Sijui kama ni kweli au kwa sababu wana M7. Hili swala inabidi kwenda MORE DEEP na si kulichukulia juu juu. Kama ni hivyo, na mie napendekeza "Wakatoliki waache kazi na au wasiombe/wasipewe kama kwenye hicho kitengo juu yupo MKATOLIKI".
Narudia tena kuwa jamani makabila makabila mengine yako nyuma saana. Nafikiri kuna haja waliojuu kukaa na kupanga jinsi ya kubadilisha maisha ya MAKABILA yaliochini sana. Hii ifanyike kwa njia zote ziwezekanazo na HARAKA. Kwa kuwasomesha, kuwapa misaada ya maendeleo na kuhimiza hayo maendeleo na kufanya kazi kwa bidii kwa kuwaeleza umuhimu wake na ikibidi (kama hawataki) basi hata kwa VIBOKO. I wish kule kwetu aje dikteta atakeyutumia mabavu kuwatoa masikini wale Misri na kuwafikisha nchi ya ..... ehhh naogopa kusema maana mabomu yanalipuka kila siku.

Naomba niwarudishe nyuma kidogo
Utawala wa Majimbo kuna Mikoa itakufa, Kuna mikoa Mingi ni tegemezi sana , Hebu niambie Mkoa wa singida na Dodoma unashughuli gani ya kiuchumi, za kuufanya usogee mbele Kimaendeleo,?
Pili maeneo yenye Rasilimari Nyiingi za Kitaifa Kama, Mwanza na Arusha zitapiga hatua mara miambili kitu amabacho kitaongeza Ukabila mara dufu.Hivyo basi nivyema kwa kuendelea na Utaratibu Ulipo.
Cha Mwisho, Let say tumeanzisha sheria ambayo inaagiza kuwa kila kampuni kama main operation duties zake ziko mwanza lazima i hold account yake mwanza, unafikiri Dar es Salaam itchukua siku ngapi kufa kiuchumi?
Kuna mambo mengi sana amabayo yatatuganya zaidi tukifanya hivyo
Naona nimemgusa mama malechera, Ukiangalia Mgawanyiko wa rasilimali Utagundua ni kwanini sehemu zingune ziko mbele kimaendeleo, Ila Dodoma kama mtaazima waisrael na wamisri na technolojia zao mtapiga zeze vizuri
Je ile migogoro ya NCCR, TLP, na sasa CHADEMA inaweza kuhusiana na hayo uliyodokeza??
Swali limetulia sana hili, ingawa sielewi hasa kina cha hii topic, lakini hili swali ni safi sana,
Finally, leo nimepata nafasi ya kuisikiliza interview ya Wangwe na Lisu, kwa kweli imenisikitisha sana kwa sababu ukweli unaonekana kuwa wazi kabisaaa!