Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume cha sheria kwa kuwa Rais kakaa kimya.
Pia kuna uwezekano baadhi ya viongozi wenye kashfa wakatumia mwanya huu ku'clear' madhaifu yao na kuuficha ukweli.
Wengine wanaweza kuidhinisha matumizi ya vitu hewa kwa kisingizio cha 'maagizo ya Rais' kwa minajili ya wizi.
Kuhoji pia ni uzalendo, kupata ukweli kutaleta FAIDA zaidi kuliko HASARA.