Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea.
Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana.
Je, viongozi wetu wa kitaifa (hasa wanaoshikilia nyadhifa za juu kabisa) wana sifa hii adhimu na muhimu?
Tuwe na sherehe njema ya uhuru.