Je, vipofu huota ndoto?

Mimi nimewahi kwenda SAYARI za mbali nje ya Dunia nikiwa nimeuacha mwili wangu chumbani,

Na nimeiona vitu ambavyo sijawahi viona hapa duniani,

Unaelezeaje Hilo?

Huoni kuwa vipofu pia wanaweza kuona wakitoka ndani ya miili Yao?

Karibu.
 
Nina rafiki yangu kipofu na anaota vizuri na anahadithia ndoto zake na akitaja kabisa miti mtu mweusi nk..

Huwa nashangaa sana amejuaje hivyo vitu
 
Nina rafiki yangu kipofu na anaota vizuri na anahadithia ndoto zake na akitaja kabisa miti mtu mweusi nk..

Huwa nashangaa sana amejuaje hivyo vitu
Akitaja mti kwani hajawai kutaja na kusikia mti kwa maisha ya kawaida....KIPI CHA AJABU
 
Nina rafiki yangu kipofu na anaota vizuri na anahadithia ndoto zake na akitaja kabisa miti mtu mweusi nk..

Huwa nashangaa sana amejuaje hivyo vitu
Ndo ujue kuwa upofu uko katika mwili.

Mtu kipofu, Si mwili ni ROHO, hivyo katika ndoto ambazo hutendeka katika Ulimwengu wa Roho anaona vizuri kabisa.
 
Akitaja mti kwani hajawai kutaja na kusikia mti kwa maisha ya kawaida....KIPI CHA AJABU
Mtu ni ROHO. Roho inaona.

So upofu u katika mwili, Si katika Roho,

Na Kwakuwa ndoto hutendeka katika Ulimwengu wa Roho anaona vizuri kabisa,

Tatizo litakuja katika kusimulia alivyoviona.
 
Mtu ni ROHO. Roho inaona.

So upofu u katika mwili, Si katika Roho,

Na Kwakuwa ndoto hutendeka katika Ulimwengu wa Roho anaona vizuri kabisa,

Tatizo litakuja katika kusimulia alivyoviona.
Roho ni nini kwenye mwili inakaa wapi n inakazi gani??

Kwanini ndoto useme inaratibiwa na roho, Since umeenda kwenye roho ambayo imekuwa introduced na dining lete kifungu kinachosema roho ndio ina ratibu ndoto.

Mbali nahapo utakuwa unatumia HISIA si FACT
 
Ninachoamini,
Wamenyimwa sense moja ya kuona ila wamepewa na kuongezewa senses nyingine kuliko sie wenye senses zote. Naamini, wanahisia zaidi yetu, wana sense of touch more than we do(ndio maana wanajifunza na kusoma kupitia mlango huo, touching and feeling), wananusa na kupata harufu zote zaidi yetu, kuna watu wanaenda mbali zaidi na kusema they hear more than we do.
Do, yeah they dream...mind/brain creates imaginations through what they touch, hear and feel.
 
Ikiwa huamini kuwa Mtu ni Roho,

Je, Akili inakaa wapi katika mwili wa mwanadamu?
 
Sasa we ukifumba macho Si utatengeza picha ya ghorofa uliwahi liona before?

Sa kipofu Hana macho, hiyo taswira atatengeza vp?
Me nafikiri atakuwa anaota kabsa na anaona simba, nyoka, watu ndotoni anaoishi nao sema tu anashindwa kueleza kwa wengine alichoota kwa kuwa hajui kama anachokiona kinafanana na tunachokiona sisi... Ni kama ww na mimi hv tunauhakika gani kama the way navyomwona simba alivyo ndo unavyomwona ww?
 
Nakubaliana nawe Kwakuwa,

Mtu ni Roho ANAYO NAFSI NA ANAISHI NDANI YA MWILI.

Hivyo upofu wa kipofu u katika mwili tu.

Lakini katika Ndoto ambako ni katika Ulimwengu wa Roho anaona Kila kitu.
 
Yeees hapo ndipo shida ilipo.

Leo hii mtu ambaye hajawahi kuona mzimu ukimsimulia kwamba mzimu una mapembe na meno mawili makubwa na jicho moja basi mtu huyo atavuta picha fulani ambayo inatokana na taswira ya kumbukumbu akiliji mwake.
 
Sio kugenerate picha,

Mimi nilienda kigoma ziwa Tanganyika kupitia ndoto, mwili Ukiwa chumbani umelala, Mimi nikanda Kwa kutembea zaidi ya km 1000 na nikarudi ndani ya MWILI wangu usiku huo huo.

Ukijua mtu ni nani, utaweza kujua mengi usoyajua.
Point yako ni nini sasa mkuu..

Mimi bado sijaelewa unataka nini katika maelezo yako ya awali na haya pia.
 
Hamna binadamu asiyeota ndoto... Hiyo ipo kwenye evolution
 
Point yako ni nini sasa mkuu..

Mimi bado sijaelewa unataka nini katika maelezo yako ya awali na haya pia.
My point is,

Upofu Ulio katika mwili wa kipofu, hauzuii Mtu ambaye ni ROHO kuona katika ndoto ambazo zinafanyika katika Spiritual realm.

Roho inaona, ila, mwili ndo macho hayaoni.

Bt Bado tunahitaji uthibitisho wa kipofu wa Kuzaliwa athibibitishe.
 
Watu wanapata wet dream na bado hawajaanza tomba... Unashangaa kipofu kuota ndoto
Tatizo Si kuota,

Anaota nini, ndoto za imagination au anaona picha kwenye ndoto shida hawezi KUTAFSIRI na kuelezea katika mwili sababu ya upofu wa mwili?
 
My point is,

Upofu Ulio katika mwili wa kipofu, hauzuii Mtu ambaye ni ROHO kuona katika ndoto ambazo zinafanyika katika Spiritual realm.

Roho inaona, ila, mwili ndo macho hayaoni.

Bt Bado tunahitaji uthibitisho wa kipofu wa Kuzaliwa athibibitishe.
Umejuaje jambo hilo kwa kutumia uthibitisho upi ?

Kipofu wa kuzaliwa anaonaje na anaona nini ?

Hicho anachokiona aliwahi kukiona wapi live ?

Je akili inaweza kuvuta taswira ya kitu ambacho haikuwahi kukiona kabla ?
 
Kwenye akili ndiko inaka NAFSI.

Kuna NDOTO aina mbili. Soma hapo juu mwanzo wa thread, nimeainisha Ndoto type 1&2.

Kipofu anaona ndoto type 2, huko Hana upofu kabisa.
 
Kwenye akili ndiko inaka NAFSI.

Kuna NDOTO aina mbili. Soma hapo juu mwanzo wa thread, nimeainisha Ndoto type 1&2.

Kipofu anaona ndoto type 2, huko Hana upofu kabisa.
Unayo mifano kwa vipofu au unatumia hiyo kwa kuwarejea watu ambao wanaona ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…