Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InafikirishaHii nakubaliana na wewe kabisa maana anaweza kukuelezea ndoto na kingine sio mtu anayesahau Ndoto kama ssi
✅✅✅Ile ilikuwa Si ndoto, ni Advanced ndoto, inaitwa MAONO.
Ni halisi kabisa, Si imagination, natembea ,nasikia na kuona kabisa.
Mtu Si mwili, mtu ni ROHO, unaweza Toka ndani ya MWILI na kwenda upatakapo.
Zitakuhusu kwa sababu ndoto zinatokana na taswila unazo ziona na zile unazo zidhani hivyo kipofu anaweza kukwambia nimeota nafukuzwa na ng'ombe ila huyo ngombe anayemwongelea yeye kuwa kamuota atakuwa na taswila nyingine maana huyo kipofu ajawai kumwona ng'ombeSasa kwa mfano mimi sijawahi kumuona ng'ombe wala picha yake tu, sasa kwenye hilo tu mimi si nitahesabiwa ni kipofu kabisa
Sasa hata zile ndoto za kuota unafukuzwa na ng'ombe zitanihusu kweli?
Anatengeneza vipi taswira nawakati Ubongo wake haujui hata taswira nini na haujawai kui experience taswiraZitakuhusu kwa sababu ndoto zinatokana na taswila unazo ziona na zile unazo zidhani hivyo kipofu anaweza kukwambia nimeota nafukuzwa na ng'ombe ila huyo ngombe anayemwongelea yeye kuwa kamuota atakuwa na taswila nyingine maana huyo kipofu ajawai kumwona ng'ombe
Kwanini tuandikie mate ilhali wino upo?Kuna uweezekano kipofu asiote kabisa
Mimi sijawai bahatika kuumuliza swali hilo kipofu,Kwanini tuandikie mate ilhali wino upo?
Vipofu hata mtaani kwako wapo, take some time kuwauliza ikiwa huota ndoto au la😀
Mimi najua kuwa upofu wa vipofu ni mwilini tu.Mimi sijawai bahatika kuumuliza swali hilo kipofu,
Je wewe ulibàhstika kumuuliza I'llo swali ? Na alikujibuje?
Swali ulisha Wahi kumuuliza kipofu Hili swali lako, na yeye binafsi alikujibuje?Mimi najua kuwa upofu wa vipofu ni mwilini tu.
Macho ya Rohoni yatumikayo kuona ndotoni Yako wazi kabisa.
Kama ambavyo Kuna walemavu wa miguu mchana, usiku wanaparamia mabati wakiwanga,
Vivyo hivyo, vipofu wanaona vizuri waingiapo Ulimwengu wa ROHO wa ndoto.
Kitu pekee kipofu hawezi kuelezea ni ayaonayo ndotoni hawezi yatafsiri sababu connection ya NAFSI na macho haipo.
Ni hayo tu.
Frankly speaking,Swali ulisha Wahi kumuuliza kipofu Hili swali lako, na yeye binafsi alikujibuje?
Sawasawa mkuu. Niseme kitu kuhusu connection ya nafsi na roho. Hii connection ipo,ila ni kwa wale tu ambao wameamka kiroho yaani wanasafiri masafa ya juu kiroho. Hawa wakiota wakiamka huwa wanakumbuka kila kitu sawia kabisa,na wanaweza iishi siku husika kwa kufuata Yale waliyoota usiku.Mimi najua kuwa upofu wa vipofu ni mwilini tu.
Macho ya Rohoni yatumikayo kuona ndotoni Yako wazi kabisa.
Kama ambavyo Kuna walemavu wa miguu mchana, usiku wanaparamia mabati wakiwanga,
Vivyo hivyo, vipofu wanaona vizuri waingiapo Ulimwengu wa ROHO wa ndoto.
Kitu pekee kipofu hawezi kuelezea ni ayaonayo ndotoni hawezi yatafsiri sababu connection ya NAFSI na macho haipo.
Ni hayo tu.