Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Sasa kwa mfano mimi sijawahi kumuona ng'ombe wala picha yake tu, sasa kwenye hilo tu mimi si nitahesabiwa ni kipofu kabisa
Sasa hata zile ndoto za kuota unafukuzwa na ng'ombe zitanihusu kweli?
 
Ile ilikuwa Si ndoto, ni Advanced ndoto, inaitwa MAONO.

Ni halisi kabisa, Si imagination, natembea ,nasikia na kuona kabisa.

Mtu Si mwili, mtu ni ROHO, unaweza Toka ndani ya MWILI na kwenda upatakapo.
✅✅✅
 
Sasa kwa mfano mimi sijawahi kumuona ng'ombe wala picha yake tu, sasa kwenye hilo tu mimi si nitahesabiwa ni kipofu kabisa
Sasa hata zile ndoto za kuota unafukuzwa na ng'ombe zitanihusu kweli?
Zitakuhusu kwa sababu ndoto zinatokana na taswila unazo ziona na zile unazo zidhani hivyo kipofu anaweza kukwambia nimeota nafukuzwa na ng'ombe ila huyo ngombe anayemwongelea yeye kuwa kamuota atakuwa na taswila nyingine maana huyo kipofu ajawai kumwona ng'ombe
 
Anatengeneza vipi taswira nawakati Ubongo wake haujui hata taswira nini na haujawai kui experience taswira
 
Kwanini tuandikie mate ilhali wino upo?

Vipofu hata mtaani kwako wapo, take some time kuwauliza ikiwa huota ndoto au la😀
Mimi sijawai bahatika kuumuliza swali hilo kipofu,
Je wewe ulibàhstika kumuuliza I'llo swali ? Na alikujibuje?
 
Mimi najua kuwa upofu wa vipofu ni mwilini tu.

Macho ya Rohoni yatumikayo kuona ndotoni Yako wazi kabisa.

Kama ambavyo Kuna walemavu wa miguu mchana, usiku wanaparamia mabati wakiwanga,

Vivyo hivyo, vipofu wanaona vizuri waingiapo Ulimwengu wa ROHO wa ndoto.

Kitu pekee kipofu hawezi kuelezea ni ayaonayo ndotoni hawezi yatafsiri sababu connection ya NAFSI na macho haipo.

Ni hayo tu.
 
Swali ulisha Wahi kumuuliza kipofu Hili swali lako, na yeye binafsi alikujibuje?
 
Frankly speaking,

Sijafanya Utafiti huo, na ndio sababu ya kuleta swali Hilo humu,

Na ukipitia comments tangu mwanzo, Kuna mtu amewahi kuishi na kipofu na ameeleza experience hiyo kuhusu ndoto.
 
Mimi najua kuwa upofu wa vipofu ni mwilini tu.

Macho ya Rohoni yatumikayo kuona ndotoni Yako wazi kabisa.

Kama ambavyo Kuna walemavu wa miguu mchana, usiku wanaparamia mabati wakiwanga,

Vivyo hivyo, vipofu wanaona vizuri waingiapo Ulimwengu wa ROHO wa ndoto.

Kitu pekee kipofu hawezi kuelezea ni ayaonayo ndotoni hawezi yatafsiri sababu connection ya NAFSI na macho haipo.

Ni hayo tu.
Sawasawa mkuu. Niseme kitu kuhusu connection ya nafsi na roho. Hii connection ipo,ila ni kwa wale tu ambao wameamka kiroho yaani wanasafiri masafa ya juu kiroho. Hawa wakiota wakiamka huwa wanakumbuka kila kitu sawia kabisa,na wanaweza iishi siku husika kwa kufuata Yale waliyoota usiku.
 
Back
Top Bottom