Nchi Gani hiyo mbwa wanasimamisha magari Ili vipofu wapite?Hii kitu imekaaje ? Kuhusu vipofu Leo nilienda kumchukua mwanangu shuleni anakosoma maajabu niliokutana nayo nimekutana na vipofu wawili mume na mke pamoja na mbwa wao anao waongoza wanatembea vizuri tu kama wanaona kila kitu pia na yule mbwa anao waongoza yupo makini sana kwa reaction yoyote Wingereza kuna mambo yakushangaza sana hawa mbwa wao wanajua mpaka kustopisha bus au kupita kwenye traffic lights hakika ni maajabu
Nilikuwa nataka kumaanisha kama kufanya muhtasari ili kila mtu aone kilichomo.Why kuisherehesha lakini? Lols
Mi nimeidownload tu ila huo muda wa kusoma ndio labda Mungu aingilie kati!
Kwani soul inapoenda kuzurura ipatakapo hutumia nacho ya MWILI au ya Rohoni?Ndoto hutokea pale ambapo soul imeachana na mwili. Na ndio maana ili mtu apate kuota ndoto ni lazima awe usingizini. Soul inapokuwa imeuacha mwili inatembea zake hukutana na vitu ambavyo mtu hajawahi kuviona,kuvisikia,mahali ambapo mtu hajawahi kufika na pengine hatafika kamwe.Kuna wakati soul inakutana na matukio ambayo Bado kutukia na baadaye yanatukia kweli. Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kipofu ana soul, nayo inaweza kuuacha mwili ikaenda zake kukutana, kusikia in kugusa na nk. Soul inapoondoka inaondoka na senses zilizopo kwenye mwili, hivyo kwa kuwa kipofu hana sense of vision hawezi kuota kaona kitu fulani.
Huwa naota Nikiwa nimefumba macho.Ww unaota ndoto ukiwa unaona au umefumba macho?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Unacheka kwa dharau unahisi una akili nyingi sana kuliko jamaa, sio!?🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjui
Haya nimekuelewa mkuuUnacheka kwa dharau unahisi una akili nyingi sana kuliko jamaa, sio!?
Kabla hajafunga macho kuwaza ghorofa, kumbuka huyu mtu ameshawahi kuliona ghorofa, pia kabla hajafumba macho kuwaza rangi ya gold, kumbuka ameshawahi kuiona gold na anajua rangi ya gold inafananaje. Kwahiyo atakavyofumba macho kuwaza, picha itakayokuja ni muunganiko wa vitu ambavyo ameshawahi kuviona (ghorofa na rangi ya gold). Kabla kipofu hajavuta picha au kuliota ghorofa la gold, unaweza kumuelekeza kipofu rangi ya gold ipoje?
Hivyo basi, kwa mtu ambaye macho yake yanafanya kazi sawasawa kuna mahusiano makubwa sana kati ya ndoto na vile alivyowahi kuviona katika maisha yake.
Kama wewe sio kipofu au ni kipofu lakini umeshawahi kuwa na macho yanayofanya kazi, yaani umeshawahi kuona, basi ndoto nyingi utakazokuwa unaziota kwa kiasi kikubwa zitakuwa na mahusiano na vitu ulivyowahi kuviona katika maisha yako.
Jibu langu kuhusu hii mada, vipofu wanaota, ila ndoto zao hazina mahusiano na macho(vitu walivyowahi kuviona), ndoto zao zinashirikisha ubongo(kumbukumbu) na milango mingine ya fahamu.
Hakuna soul kipofu.Uko pamoja nami, wewe umenielewa. Soul ya kipofu na yenyewe ni kipofu pia. Kipofu hawezi kuota kaona kitu fulani kwa sababu soul ambayo ndiyo inatuletea ndoto haina macho.
Kwahiyo haya tuna yaota huwa yapo kweli huko soul inapokwenda “ikiuacha mwili”?Ndoto hutokea pale ambapo soul imeachana na mwili. Na ndio maana ili mtu apate kuota ndoto ni lazima awe usingizini. Soul inapokuwa imeuacha mwili inatembea zake hukutana na vitu ambavyo mtu hajawahi kuviona,kuvisikia,mahali ambapo mtu hajawahi kufika na pengine hatafika kamwe.Kuna wakati soul inakutana na matukio ambayo Bado kutukia na baadaye yanatukia kweli. Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kipofu ana soul, nayo inaweza kuuacha mwili ikaenda zake kukutana, kusikia in kugusa na nk. Soul inapoondoka inaondoka na senses zilizopo kwenye mwili, hivyo kwa kuwa kipofu hana sense of vision hawezi kuota kaona kitu fulani.
Hoja kinzani kama hizi ndio zinathibitisha Soul sijui Roho ni just illusionsHakuna soul kipofu.
Upofu uko katika mwili tu, Si katika NAFSI na Roho.
Si lazima itokee picha kamili kutokana na alivyoekezwa ama kujua.. Kwakuwa hata wasio vipofu huota wanyama wa ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina zaida Moja ya ndoto,Hoja kinzani kama hizi ndio zinathibitisha Soul sijui Roho ni just illusions
Kama kuna vitu huvijui completely hakuna namna unaweza kuviota
Watu wanaota wana sex na mzazi wake.... je soul haijui?
Sometimes unaota unafanya upumbavu wa kiwango cha mwisho...... inamaana soul ndio inaweza kufanya vitu vya kijinga kiasi hicho?
Duuuh! Kama umewahi kuota unafanya mapenzi na mzazi wako umefikia pabaya...Hoja kinzani kama hizi ndio zinathibitisha Soul sijui Roho ni just illusions
Kama kuna vitu huvijui completely hakuna namna unaweza kuviota
Watu wanaota wana sex na mzazi wake.... je soul haijui?
Sometimes unaota unafanya upumbavu wa kiwango cha mwisho...... inamaana soul ndio inaweza kufanya vitu vya kijinga kiasi hicho?
Mkuu Kwani kuota ni jambo la HIARI?........... Kwamba mtu anachagua aote nini hadi umuone kafikia pabaya kuota hivyo ?Duuuh! Kama umewahi kuota unafanya mapenzi na mzazi wako umefikia pabaya...
Sijawahi kujua kama kuna watu mnaota hivyo
Vipi wale wanao ota huku wanafanya mambo wanayo yaota kama akina Josee KamilioniNdoto hutokea pale ambapo soul imeachana na mwili. Na ndio maana ili mtu apate kuota ndoto ni lazima awe usingizini. Soul inapokuwa imeuacha mwili inatembea zake hukutana na vitu ambavyo mtu hajawahi kuviona,kuvisikia,mahali ambapo mtu hajawahi kufika na pengine hatafika kamwe.Kuna wakati soul inakutana na matukio ambayo Bado kutukia na baadaye yanatukia kweli. Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kipofu ana soul, nayo inaweza kuuacha mwili ikaenda zake kukutana, kusikia in kugusa na nk. Soul inapoondoka inaondoka na senses zilizopo kwenye mwili, hivyo kwa kuwa kipofu hana sense of vision hawezi kuota kaona kitu fulani.