angeamua kuwekeza kwenye elimu, ningeona anajua anachokiongea. shida moja ni kwamba, waarabu akili hawanaga za shule, ndio maana kamwe hawatakuja kujitegemea. hawajawahi kuinvent chochote, technologia zote wanazotumia hawajazivumbua wao na hawazimiliki, wanategemea kila kitu kwa wazungu na wachina ambao hawawauzii ila wanawatumia tu. watajitegemeaje wakati hawana uwezo kutengeneza hata ndege za kivita za mabox tu, hawan auwezo kutengeneza magari, hata kijiko hawawezi, walichonacho ni pesa tu ambazo wazungu wanazitafuna kweli kweli nazo ni za mafuta, yakiisha au technolojia ikibadilika wanalala njaa. waige mfano wa china na india, hao ndio wenye uwezo kushindana na wazungu, wamewekeza sana kwenye teknolojia na elimu, wamerusha vyombo angali, wamevumbua vitu vingi sana vya kisasa na ukitaja india kwa mfano kwenye IT wapo mbali sana hata makampuni makubwa hayo yanawatumia sana wahindi. sasa mwarabu asiye na alimu, ambaye hana labour force yenye elimu, anategemea kuimport kile kitu kuanzia wafanyakazi hadi vyakula, hadi machinery, atatawalaje dunia? au kwa imani ya dini yao?