Niwakumbushe tu kuwa Mwana wa Mfalme Mohammad Bin Salman, allisha tamka kuwa Zaidi ya asilimia 90% ya Hadithi (kwenye Quran) ni takakataka!!
Sidhani kama hajaona takataka zilizoko kwenye Quran yenyewe, lakini, ukigusa hicho kitabu na vile waislam walivyo, nafikiri vita ya Dunia anajua itazuka-akamua aanze kwanza na Hadith. Ni huyu huyu ambaye amepiga marufuku Wanafunzi wa kike kuingia darasani wakiwa wamevaa Abaya.
Katika video hapa chini anaapa kwamba ndani ya miaka mitano anataka kui transform kabisa Saudia na nchi nyingine ya Mashariki ya Kati-Kwa maneno yake anataka the New Europe iwe Mashariki ya Kati!
Akiwa anatamka hilo Emir of Dubai Mohammed bin Rashid Al Maktoum peke yake kati ya Umati wote Ndiye anaamka kuonyesha kuunga mkono maono hayo.
Ikumbukwe Dubai imefunguka kiuchumi na kijamii. Aidha katika hotuba yako hiyo anaapa kuwa anataka kablla ya kufa aone ndoto yake hiyo imetimia kwa 100%
Bin Salman siyo tuu anataka Middle East ya waarabu ndiyo iwe Europe, bali anaiwinda hata Israel. Kuna mazungumzo ya chini chini ambapo anataka kuanzisha uhusiano wa kibalozi na Israel na kama hiyo haitoshi anataka kuchukua hata usimamizi wa Msikiti wa Al-Aqsa. ikumbukwe tu Waislam wa siasa kali wanautumiaga Msikiti huo kuanzisha vurugu ambazo hutokeza mapigano kati ya Waisrael na Wapalestina.
Inasemekana Saudia wamechoshwa na hali hiyo ya vita; kwani maendeleo hayaji kukiwa na chokochoko za vita
Mzee Mwinyi aliisha sema ukifungulia Dirisha hewa nzuri iingie, basi na maanzii yayo yataaingia.
WaSunn kwa maendeleo haya basi tegemeeni kuishi katika ulimwengu ambao itabidi mkubaliane na uasi imani kwenye dini yenu iliyojaa masharti yasiyo na msingi na kwakweli hayatoki kwa Mungu wa Kweli
Wale Waarabu ambao ndyo wanaoisoma na kuielewa Quran (siyo nyinyi mliokaririshwa) Watafunguka macho kutokana na modernization na hivyo kufichua uongo na upuuzi ulioandikwa kwenye Quran.
Nawaambia hivyo, waulizeni wenzenu wakatoliki, ambao walikuwa wakikaririshwa Biblia kwa Kilatini na wakaambiwa Biblia ni ngumu kuielewa hivyo wao wawe wanawasikiliza tu Mapadre wao.
Europe ilipo Modernize uasi ukaanza kutokea na kuanzishwa makanisa ya Kiprotestant. (dont take me wrong thou, because I am neither catholic nor protestant).
The worst scenario, kwa sababu WaSunni ni watu wa kujilipua, basi tutegemee kupigwa marufuku kwa dini yenu pamoja na dini zingine za uongo.
Mambo yanaenda kwa haraka sana, wakati Ulimwengu unaelekea kuadhimisha miaka 2000 tangu ulimwengu ulipotambulishwa Yesu kuwa ndiyo Mesiha