Ili twende pamoja basi ningeshauri uwe na ramani ya dunia pembeni yako huku uki-refresh darasa lako la historia na jiografia hata kama ni ile ambayo wengi wetu tunayo; yaani ya O-Level
Nitangulie kusema kwamba sina ufahamu wa kutosha wa historia na hata jiografia. Pale nitakapokosea, naomba nirekebishwe...awali kabisa, ningewaomba wajuvi wa jiografia watueleze kinagaubaga concept ya Plate Tectonic.
Tuanze mjadala kwa kuangalia kwa makini kabisa position ya East Africa in relation to the world map. Kisha tena angalia bara la Australia. Hata ukiangalia kwa haraka, hutachelewa kugundua kwamba upande wa mashariki wa East Afrika, hususani costal part of Tanzania ni kama imebonyea kwa ndani. Kwa upande mwingine, ukiiangalia Western Australia moja kwa moja utagundua upande huo (West) una nundu! Lakini ukiiangalia kwa makini Australia, utagundua haijakaa wima, ni kama ime-lean South East. Yaani kama ni suala la kumegeka na move away, basi ni kama Australia ilikuwa ina-move towards south east.
Vuta pumzi kidogo kisha tujikumbushe Jiografia ya O-Level. Kule tulijifunza kitu kinachofahamika Plate Tectonic. Kwenye Plate Tectonic tunaambiwa kwamba, millions of years ago, dunia lilikuwa pande moja. As a result of Plate Tectonic, dunia ikamegeka mapande na yakawa yana-move away from their original positions.
Sasa basi, tukirudi kwenye ile elevation ya Australia na nundu yake west side, na kwa upande mwingine tukirudi kwenye mbonyeo/tumbo la East Africa, Tanzania in particular; ukiangalia kwa makini utagundua ni kama ile nundu iliyopo Western Australia ina-fit kabisa kwenye mbonyeo wa Costal Part of Tanzania. Do you agree with me?
Sasa turudi kwenye historia. Bara la Australia linakaliwa na Wazungu hata hivyo tunaambiwa wenyeji wa asili wa Australia ni wa-Aborigine. Wa-Aborigine ni weusi. Mtu anaweza kujiuliza weusi wale walifikaje fikaje Australia wakati, tukiacha wale originated from slave trade, weusi wengine wote wapo Afrika. Labda kama wana-historia wa jamvi hili watueleze pasipo na shaka yoyote kwamba wa-Aborigine nao ni results of slave trade. Na kama ndivyo, why waonekane ndio wenye asili ya Australia? Swali hili, hata sie tusiofahamu historia tunashawishika kuamini kwamba Aborigines aren't a result of slave trade.
If so, can we at least hypothesize kwamba asili ya wa-Aborigines ni East Africa, Tanzania in particular? Kwamba, as a result of Plate Tectonic, pande la dunia upande wa East Africa lilipomeguka na ku-detach, wa-Aborigines wakajikuta wametenganishwa na ama Wasambaa wenzao, Wazaramo, Wandengereko au Wamwera, Wamakonde wenzao? Hata kama walitenganishwa for few feet, hawakuwa na uwezo tena wa kujitosha baharini ili kurudi kuungana na wenzao? Yaani assume umesimama na mtu mnaongea; ghafla dunia ikameguka na kuwatenganisha na kina kirefu cha maji. Si kwamba hamuonani, mnaonana lakini unashindwa kuruka urudi ulikotokea! Hili ndilo liliwakumba wa-Aborigines? Na kutokana na detached land ku-move away south east ndipo hatimae pande lile ambalo leo hii tunaliita Australia lilisafiri na ndugu zetu wa-Aborigine?
Kwa kuangalia concept ile ile, tunaweza kusema kwamba Wa-Israel na Wagiriki ni wamoja? Wayahudi wengi ni Wazungu na Israel ni taifa pekee la Wazungu ambalo lipo Middle East! Wazungu wengine unaweza kuwapata Lebanon. Je, si wamoja hawa hasa ukiangalia zilipo nchi zao na ilipo Cyprus ya Wagiriki? Aidha, tumepata kuwasoma wana-Falsafa kadhaa wa kadha wa kale wenye kuheshimika kabisa hadi leo duniani na wengi wake wakitokea Ugiriki. Ama bila shaka, huwezi kuwa mwana-falsafa uliyetukuka bila kuwa na bongo iliyojaa mbolea sawasawa! Na katika dunia hii ya leo, tunaambiwa Wayahudi nao ni watu wenye bongo iliyojaa vyema mbolea. Sasa basi, tukichukua bongo mbili hizi, kisha tukaangalia position ya Israel na Greece; tukachanganya na shaka kwamba huenda Israel pale walipo labda ilitokana na result ya Plate Tectonic, hitimisho lake si kwamba Wayahudi na Wagiriki ni dugu moja? Anyway, ni mtazamo wangu tu!!​
Si mbaya tukijongezea kichaji bongo ili tufikiri kwa makini zaidi. Hivi umewahi kuwaangalia vizuri wa-Morocco, wa-Spanish na Wareno? Ukiwaangalia vizuri hawa hutachlewa kugundua kwamba hawa ni ndugu moja! Angalia nywele zao…nywele zao lainiii, nyeusi ti! Ukiangalia position ya Morocco in relation to the position of Spain and Portugal, kisha uka-apply concept ya Plate Tectonic, utagundua kwamba Morocco, Spain and Portugal was just one piece of big land! Mifano ni mingi, hata ukitaka kuangalia vizuri Chinese varieties in South East Asia and Far East. Middle East, in relation to North Africa and The Horn of Africa.