Wakuu
lumanyisa,
Kituko, and
mjasiria,
1. Hivi ni utafiti gani umeweza kusema beyond reasonable doubt kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi duniani miaka X iliyopita na continental drift ilitokea miaka Y iliyopita?
2. kuna uhakika gani kwamba hakuna masalia ya kale zaidi kuliko hayo ya 50 million years ago?
3. In addition to that, ikiwa wataalamu hao wanaamini by the time of continental drift tayari kulikua na baadhi ya wanyama na mimea; and bila shaka na samaki, itashindikana nini basi kuwapo mnyama jamii ya mwanadamu?
4. Hivi ni kwmba wakati wa continental drift hapakuwa na mwanadamu au there's no eveidence kwamba mwanadamu alikuwapo? Ikiwa ni kwamba there's no evidence in the existence of human life, this's different to there's no human life!
5. Mkuu Kituko umesema blacks wa sehemu kama Papua New Guinea and the like, uwepo wao kule umetokana na human migration. Hapa nimeuliza swali ambalo bado sijajibiwa! Ikiwa ni result of human migration, what' was the motivation of their migration? migrated from where? why did them had to risk their lives and migrate throughout islands?[/QUOTE]
GT
NasDaz naomba nikiri maswali uliyoyaweka yako so Challenging, na mengine yanahitaji maelezo ya Kina na reference nyingi, lakini kwa kifupi ngoja nijaribu kuyajibu kadriri nilivyokuwa "Brain washed"
1. kwa swali lako la kwanza, Utafiti Mkubwa ulifanyika na unaoendelea kufanyika ni ule wa Dating, kujua miaka ya matukio na evolution ya vitu (wanyama, wadudu na mimea), hapo ndipo palipokuwa na Relative dating (Age depending na events) na ile inayoitwa Absolute dating (Age in Numbers)
Relative DAting ni njia ya kulinganisha vitu ama matukio (correlations) unaweza kwa asilimia kubwa kujua ni kipi kilitangulia kabla ya kingine na hapa kuna principles nyingi zinazotumika kufikia hitimisho na ndio nikasema panahitajika muda wa kueleza kiundani, lakini miongoni mwa hizo principle kuna ile inayosema PRESENT IS KEY TO THE PAST, ikiwa inamaana kwamba geological events zote zinazotokea sasa zilishawahi kutokea huko nyuma na tunazitumia hizi za sasa kuelewa zile za nyuma zilitokeaje, mfano sasa kuna hii East African Rift valley, ni event ambayo inatokea sasa na tunaiwitness na tunaweza kuicalcualte lini inakuwa full opened (currently 12cm kwa mwaka), hichi cha East African rift valley opening kinatupa nafasi na evidence ya kujua ni kweli Pangea ilikuwepo na splits ilifanyika na continental drift ilikuwepo.
pili kuna principle ya FOSSILS SUCCESSIONS, ikiwa na maana kuwa kama hakuna geological disturbances zozote (Eathquakes, Volcanic eruptions nk), basi Fossils zinazopatikana chini ni older kuliko zile zilizo juu, kwa maana kwamba kama unachimbua chimo kubwa na ukaanza kuona masalia ya viumbe vya zamani, basi Mafuvu ya binadamu hayawezi kamwe kuwa chini ya masalia ya Dinnosauraus, na ikitokea hivyo basi kuna sababu ya kuwa hivyo
Pili kuna ile tunayosema ni
Absolute dating ambayo inatumia C14 na Radiometric methods (Uranium, Pb nk), sio kweli kwamba zinaweza kuwa na precision ya 100%, lakini zinajitahidi angalau kuweka distinction ya vitu agewise. Kwa Mfano ukisoma vitabu vya dini kutoka uumbaji mpaka sasa si zaidi ya miaka 10,000, lakini ukija kwenye Radiometric inatuonyesha mpaka sasa dunia ina 4.5 billion years.
Kwa kutumia hizi njia Mbili kupitia Evidence za Fossils and Geological Events iliawezekana kujua Binadamu alikuwa lini na Continental drift ilitokea lini,
2. Uhakika ni kwamba hakujawahi kupatikana hayo masalia na pia ukifata ile relative dating yaani kuclasify vitu kutoka na events na evolution, Binadamu hafit zaidi ya hapo, Kufikia hiyo conclusion kuna vitu vingi vinakuwa correlated, kila kitu kilikuwa evolved wakati fulani la labda kuwa extinct wakati fulani, fossils zinazopatikana na Mazingira ndio zinasema hivyo,
3. Nadhani maelezo ya hapo juu yanaeleza vizuri
4. kuna ushahidi kuwa mwanadamu hakuwepo wakati wa Plate tectonics pamoja na wakati wa continental drift, na pia tukizama ndani zaidi mazingira ya wakati ule hayakusupport humani life (Palikuwa na formation ya rocks kama BIF-banded Iron Formation ambazo zilikuwa zina-consume oxgen nyingi wakati wa formation zake) , kuna maelezo marefu sana hapa na ndio maana nikasema hii kitu inahitaji muda mrefu,
5. They were Migrated from Africa,
sababu za kuMigrate ziko nyingi sana Mkuu, Nguni tribe chini ya Chaka Zulu walihama kutoka SA mpaka Tanzania, Malawi, Zambia na wana sababu zao, Wahehe asili yao ni Wandengereko na waliamia huko kwa sababu zao, Wanyiramba wana asili ya musoma na waliamia Singida kwa sababu zao, Waarabu hawakuwa Africa na waliamia Sudan kwa sababu zao,
hivyo kila human migrations zilifanyika kwa sababu zao, na hata hao wa Papua New Guinea nk waliama kwa sababu zao
CC:
lumanyisa,
mjasiria