Mkuu nia na madhumuni ya kukosoa aikuwa kulumbana kusiko na tija tunaishi kwenye dunia ambayo elimu ina demand kufikiria kwa facts, evidence or theoretically kuanzia O'level, let alone huko juu. Mfano hata kwenye literature tu a fictional writer (unless it is a science fiction) hawezi kuandika kwamba alienda porini sijui akakutana na some ape ambae anadhani ni cross breed kati ya chimpanzee na orangatung somewhere in pacific islands. Mtu ataona mh hivi hawa apes wanatamaduni za ku-cross breed, halafu hata wapo katika hizo regions mpaka mtu adai hivyo.
The point i am trying to make when some people read also look at the existing facts or knowledge na akiona kama ulivyokuja wewe it is very disappointing and tiresome kwa mtu mzima kuandika hivyo maana hivyo vitu haviruhusiwi anyway kwenye society nayoishi mimi. Unless unamwandikia mtoto habari za polar-bear kumpokea salmon kwa ukarimu uliopitiliza hili kumfundisha ubinadamu, lakini in real life salmon akiingia tu kwenye streams za polar regions anakuta bear anamsubiri kama lishe muhimu sana kwa ustawi wake.
Sasa wewe huwezi kuandika habari hata kama ni assumptions without taking a little trouble on finding facts aborigines or people with similar features are scattered all over the isles of pacific ocean na bado ukirudi papua new guinea kuna bantu nyeusi kabisa hawa je wametokea wapi in between? na wapo karibu na continent gani zaidi. Ndio uangalie ni sawa kweli uanzishe thread yenye element za kisayansi na mwongozo rahisi kama ulio anza nao, kama mchangiaji nilitakiwa kuendeleza argument mbele na si kurudisha thread nyuma kwa kuuliza facts za maandishi yako, facts ambazo ulitakiwa uzizingatie mleta mada sio mimi.
This is typical justification ya wadau wengi wanaposhindwa kutetea hoja zao kwenye JF wanaanza vitu vingine kabisa.
Hands up, i though someone mentioned something of the parallel somewhere, ooops my bad.
Nimeshaona tofauti ya msingi kati yangu na yako. For you, this item is there because it's meant to be there wakati mimi nitauliza ama kujiuliza why it's there! YES, kuna black stuffs in Oceania but I'll still ask myself why they're there! I'll always ask myself why does this exist this way instead of that way…na ndio maana kwenye jamvi hili hili nimepata ku-question credibility ya Kuran and Bible! Na ndio maana kwenye jamvi hili hili nimepata kuhoji kwanini Mungu aliye mwema aliwapiga changa la macho Wayahudi pale alipowaahidi nchi ya maziwa na asali, na kudai kwamba angewapa a VAST land na badala yake walichonacho Wayahudi hivi sasa is just a STRIP of land full of mountains instead of maziwa na asali; na badala yake aka-offer hivyo vitu kwa wabaya wa Wayahudi; Waarabu!!!
Myself, lazima nijiulize coz' I know kuna certain domination of particular race in a given land mass. When we talk of Africa, especially south, it's dominated by BLACK…PURE BLACK! Nitakapoona kuna some stuffs of Black somewhere else, nitajiuliza, why and how did it happen! Northern Part of Africa ipo dominated by Arabs…hapa lazima nitajiuliza…Arabs are predominantly in Middle East, why these guys are in Africa!! Ukienda Europe, utakutana na Wazungu. Unapoona Wazungu South Africa lazima mtu ujiulize WHY and HOW! Ukienda South Asia unakutana na Indian, so, mtu utakapokuta impure Indian specie somewhere else lazima ujiulize imefikaje fikaje hapo! Ukienda East and Far East Asia unakutana na Chinese stuffs wakati South East Asia unakutana na Impure Chinese species. I'll ask myself WHY these guys look like Chinese but are some miles behind to be the same as Chinese!!
Sasa, tukirudi kwenye hoja yako ya watu wa Oceania…ni kweli ni black, hapa napo lazima nitajiuliza, pure blacks are in Africa, where does this breed found in Oceania come from?! Na hata ukii-study hii breed, many studies zinawa-refer as Polynesians…originating from South Asia. But pure breed ya South Asia sio black, so why these guys are black skinned?
Hivi punde nimepitia document moja talking of Plate of Tectonic. Ikiwa this plate tectonic things are TRUE then conclusion zao ni kama once upon the time, India ilikuwa ni ama very close or attached to both Afrika and Antarctica but not to Australia. Likewise, Australia was very close or attached to Antarctica but not to India or Africa (as
Kituko previously said). Finally, as indicated earlier, apart from being very close/attached to India, Africa also was either very close or attached to Antarctica. For that case, Antarctica was like intersection spot for all mentioned continents. This means, if human life existed before plate tectonic, then kuna uwezekano kwamba Black Species zilikutana na Indian Species somewhere. Kama ilitokea cross breeding, then possible origin of black skinned people with Indian hairs inaanzia hapo. Let's call them HYBRID! And since Africa, India and Antarctica were either very close or attached to each other; then kuna uwezekano kwamba Pure Indians, Pure Africans and HYBRID were able to move to Antarctica. The question now is WHY to ANTARCTICA? Earlier noted kwamba Antarctica was like INTERSECTION SPOT for both India and Africa(reserve Australia). So, either it's voluntary movement, thus rising the issue of motivation factor (what made them to move all the way to Antarctica) or involuntary movement,
kwamba Blacks, HYBRID and/or Indians found themselves in Antarctica baada ya maeneo waliyokuwa wanaishi kuwa detached from parent land masses as a result of plate tectonic, thus proving the possibility of human existence in time of plate tectonic.
Lakini kwavile Antarctica nayo ilikuwa ama very close or attached to Australia, then kuna uwezekano kwamba hii population ambayo finally ilikuwa in Antarctica ndiyo ili-move to Australia na ku-scatter throughout Oceania. The same question arise...was it voluntary( and if so, why moving all the way to Australia) or was it also a result of plate tectonic? But the first thing to question is why did they had to move eastward kuelekea Australia? Probably, hasa kwa kuzingatia hali ya sasa ya Antarctica (covered by ice), hawa waliojikuta in Antarctica wakalazimika kutafuta better settlement with good climate baada ya hali ya hewa ya Antarctica kuanza kuwa mbaya (probably baridi kali). Na inawezekana vilevile kwamba wakati haya yanatokea, Antarctica ilikuwa completely detached from Africa and India but ilikuwa still attached to Australia! So, with similar possibilities like above, ndipo all or only the portion of Antarctica population nayo ikajikuta Australia. Bila kusahau, there're two major possible species here; Black and Indians and probably Hybrid. So, sioni taabu kuona kwamba Aborigines nao ni BLACK SKINNED with Indian Hairs simply because....
The strong point to prove this wrong is when it's proved kwamba there's no human life during plate tectonic era.
HUTAKI UNAACHA, simple like that.