HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Habarini,
Kila kukicha Waafrika wanazidi kuwa wajinga kwa kukumbatia manabii wawili mohamad na yesu ambao kiuhalisia siyo asili yao na hawana vinasaba nao kwani yesu ni mzungu wa kuigiza kwenye kitabu cha kutunga biblia na mohamad ni mwarabu wa kwenye kitabu cha kuigiza quruan ambao woooote hawa wawili ni WAHUSIKA WAKUU kwenye hizo riwaya mbili na WAHUSIKA WASAIDIZI wakiwa ni yohana,isaya,musa,nk ili kufikisha jumbe au maudhui mbalimbali kwama vile UVIVU,UMALAYA,WIZI,UNYONYAJI,UONGO,UBINAFSI,n.k.
Sasa hawa manabii wa Wafia dini wa Kiafrika na wa mchongo yesu na mohamad inamaana wao ndiyo wanaiwakilisha dunia yote kwa MUNGU WA KWELI WA WATU WOTE au Wachina,Wajapan,Wakorea,Wahindi,nk wao wana manabii wao ambao kiuhalisia wamewawezesha kufanikiwa kimaendeleo hasa KIJAMII na KIUCHUMI?.
Sasa ifikie kusema kama yesu na mohamad ni manabii wa Waafrika kwanini Waafrika hawaondokani na imasikini,magonjwa,vita,ufisadi,nk ukizingatia ndiyo wanajaa makanisani na misikitini na wamekumbatia ujinga wa kuamini biblia na quruan??
Waafrika msitukeeee!!