HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
- #21
Unashauri nini juu ya DINI ZA WAAFRIKA?Hakuna anayejua maana aliyeshinda ndiyo huwa mara nyingi anakuandikia historia anayotaka yeye. Ukiondoa waafrika, hao waliobaki wengi dini zao zina umri mkubwa kuliko Uislamu wa sasa na Ukristo wa leo, utawaambia Nini kuhusu dini ngeni au mpya, dini zao zimewasaidia sana tena Kwa miaka mingi hivyo huwaambii kitu.