Je Waarabu hawajui Adui Yao?

Mtume Muhammad kaja kakuta waarabu wanachinjana ,na kaondoka kawaacha wanachinjana ,hawa wanavisasi vyao vya tangu na tangu uko,na hata wazungu wanaanziaga hapo kufanikisha ajenda zao,
 
Adui mkubwa wa mwarab ni mwarab mwenzake, hii jamii ni wanafiki sana na hata dini yao imejaa unafiki tu.
 
Makaburi ya halaiki yapatayo 50 ambayo kila moja linakadiriwa kuwa na miili takriban 200,000 na kuendelea yamegunduliwa huko Syria.

Dikteta Assad anaweza kurudishwa Syria na kupandishwa Kizimbani.
 
KWa sasa wana civil war, ile ikivamia ni kama nzige inakula kila kitu cha kijani.
kuondoka Asad, ilikuwa hatua ya kwanza, wapeni muda wakae wakubaliane muundo bora wa kujiongoza, katiba iweje na mengine.
Msiwashambulie kwa dini na uarabu wao, nadhani walipaswa kupongezwa kwa hatua waliyofikia.

Sisi hapa tuna TAWALIWA na CCM na hatujui tutokeje tulipo.

Wao wamepigana na mwisho wamemshinda MTAWALA DHALIM, Asad.

Kila kitu kina hatua, naamini watatoka walipo na wayasonga mbele wakiwa wamoja na wenyefuraha
USA, walikuwa na civil war, ilipoisha sasa wanakimbiliwa kwa misaada mbali mbali, Syria watavuka hatua hiyo pia.

Bravo SYRIA!
 
UKiitazama jamii ya Waarabu, kwa kweli ni kama jamii iliyolaaniwa. Pamoja na utajiri wa mafuta, lakini wamekuwa watumwa wa mateso, na uovu wao mwingi umefichwa katika dini ya kiislam. Wanawatesa watu wao, huku wakiwa wamajaa unafiki mkuu.

Fikiria, nchini Saudia ni marufuku kutengeneza, kufanya biashara au kutumia pombe, lakini Saudia ndiyo nchi inayoongoza Duniani kwa uagizaji wa mitambo midogo ya kutengebezea pombe majumbani toka Marekani!! Ukishuka uwanja wa ndege mjini Riadhi kuna watu wapo kutizama wageni walioshuka kwenye uwanja wa ndege, kisha wanakuuliza kama unataka pombe au mwanamke, uwaelekeze ili wakuletee hotelini.

Nimeenda Zanzibar, mabinti wanaofanya kazi kwenye mahoteli ya kitalii, wanatoka majumbani wamevaa mabaibui, na vibegi vyao. Kabla ya kuingia kazini, wanapiga miniskirts kali.

Pale Dubai, mabinti wanaohudumu ndani ya ndege, miniskirts kali, wakienda huko mitaani ni mwendo wa baibui!

Kuna matajiri wakubwa wa UAE, wakati wa msimu wa joto, wanasingizia kuwa ni kwa sababu ya joto kali, wanaondoka nchini kwao, wanaenda nchi za Ulaya, Canada na Marekani. Huku wanakaa kwa mwezi 1, miezi 2 hadi 3. Huko wanapiga starehe na anasa za kila aina.

4. Kuna baadhi ya mataifa ya kiarabu wanasisitiza mabinti ni lazima waolewe wakiwa mabikira, na kama ukimwoa binti halafu ukaona siyo bikira una uhuru wa kumwacha au kuendelea naye. Matokeo baadhi ya mabinti ili waolewe wakiwa mabikira, kabla ya kuolewa ni mwendo wa kuingiliwa kinyume na maumbile. Baadaye hawa vijana (mabinti na wanaume) hata wakiolewa au kuoa, inageuka kuwa ndiyo tabia yao. Haya mambo ya uhayawani ya ufirauni, jamii ya waarabu ipo juu kuliko jamii yoyote, ila wanaojulikana ni wazungu kwa sababu wazungu wameweka wazi.
5. Nilishangaa wakati nimeenda Zanzibar, nikamtafuta muongozaji, anaanza kuniuliza kama nataka mwanamke! Sikutegemea kuulizwa juu ya mambo hayo Zanzibar. Tanganyika na nchi mbalimbali za Afrika sijawahi kuulizwa juu ya mambo hayo, nje ya Afrika nimewahi kuulizwa mara 2; halafu nakuja naulizwa Zanzibar. Na ukiona hivyo, ina maana wateja wa namna hiyo na watoa huduma hiyo, wapo wengi Zanzibar!!

Kiuhalisia, hawa watu wamejaa unafiki mkubwa.
 
Kuna Shida Mahali Haiwezekani Waafrica Na Waarabu Akili Zifanane Tofauti Ndogo Sanaa hilo ni Kweli Yani majitu hayani akili Kabsa
Waarabu na waafrika wanasumbuliwa sana na ubinafsi. Ndiyo maana wapo tayari kushirikiana na mwovu yeyote ili mradi yeye binafsi anufaike!!


Katika hali ya kawaida, ungetegemea kuwepo na Mtanganyika aunge mkono au atumiwe kukamilisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika kama bandari, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu? Lakini kwetu imewezekana. Akina Musukuma, Mwigulu na maCCM wengi, mpaka wanatokwa na mapovu kutetea uporwaji wa rasilimali asilia za nchi unaofanywa na wageni!! Lakini yote hayo ni kwa sababu yeye binafsi kapewa pesa, V8, nyumba mjini Dubai, na rushwa ya cheo!!
 
Wasio na akili wakigombanishwa hadi na wazazi wao wanaona ni sawa tu. Kama mtu anaweza kumchinja mwanawe au kumpiga mawe ndugu yake hadi kufa kisa dini unafikiri huyo yuko sawasawa kiakili?
Heshimu imani za watu acha kututusi
 
Adui mkubwa wa waarabu ni mmarekani ambae anawachonganisha na amewagawanya,na kwakuwa anawachunga sana wasipatane,siku waarabu wote watapatana ndipo utakapokuwa mwisho wa dunia
 
ishu sio demokrasia ishu ni viongoz wanaosimamia ushetani. popote pale pana demokrasia , ww unatafsiri demokrasia ni kubadili viongoz ila demokrasio ni zaid ya hapo , Saudia demokrasia ipo , Iran demokrasia ipo ila demokrasia ya kiwango gan ndo hoja inaanzia hapo , sio kwel kwamba wananchi hawapo huru kweny kila kitu , uhuru wa kuchagua kiongozi na uhuru wa kumhoji akikosea hapo ndo ttzo lilopo kwa nchi za kiarabu ambapo uislam hauzuii kumhoji kiongoz akikosea ila viongoz wabovu wanataka kuwaingiza kweny ushetan kwa kusema demokrasia ni ya watu wa magharibi , Huez jenga demokrasia bila kupitia vita ya kuwashinda wale wanaosimama na ushetan wao ila mkiwamaliza mtakuwa kama Magharibi , Magharibi wamemwaga damu nying kufika pale walipo
 
No
Kwa hiyo maoni yako ni kwamba wajifungamamishe na Marekani na kutii kila wazo litakaloamriwa kutoka huko?

Hawana jambo jengine la kuwatoa hapo walipo?

Tawala zao za kiimla, kiukoo na kifalme, wewe unaziona zipo sawa?
Nnachoshangaa ni namna ambacho hawaelewi wanachokitaka. Kila mmoja na lake bunduki mkononi
 
Wasio na akili wakigombanishwa hadi na wazazi wao wanaona ni sawa tu. Kama mtu anaweza kumchinja mwanawe au kumpiga mawe ndugu yake hadi kufa kisa dini unafikiri huyo yuko sawasawa kiakili?
Waarabu hawajielew hawajui adui yao mkuu ni marekani na mtt wake hilo hata miaka 100 m ele watakuja kuligundua mm. Auliza hv warabu wamesoma na kuwa na mazingatio mbona kama hawana akili
 
Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)

Hivi hii Aya ipo kwenye kitabu Cha Dini kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…